Simu ipi yenye camera nzuri?

 
Sawa mkuu ila ni bora kwenda ktk brand hizi tatu, Google Pixel, Samsung na Iphone kuliko hiyo xiaomi yako.
Hivi moto wa xiaomi hua mnauchukuliaje labda, toka mwaka 2018,mpka leo xiaomi hatoki kwenye top 3 best phone brand mpka leo, sasa kuwa underate hivo mnatumiaga kigezo gani? Au kwa kua hamzikuti kariakoo zimezagaa ovyo na hamjui kwa kuzipata ndio mnaziponda, mie maisha yangu yoote nitabaki xiaomi daima
 
Kama upo makini utaona Xiaomi na akina Vivo ni kama mtu na kaka/dada yake. Si unaona hao wawili walivyomuacha mbali?

Sikiliza mkuu, mimi nimeshatumia brand zote 3 hizo, kwa Android Samsung yupo mbali sana saana kuliko brand zingine.
 

Attachments

  • world-top-10-mobile-company-name-list-2023.png
    35.7 KB · Views: 10
?Miamba ho. Hakuna ubishi.
 
Duh! Anaichukuli poa hio chombo.
 
Kuna nokia fulani, niliwahi kutumia, aisee ile ni nyoko, naimani inapiga picha nzuri kuzidi baadhi ya flagships.
 
Madukani zunguka utafute. Hata account za IG zinazouza simu unatafuta utakuta huko bei tofauti tofauti lakini zina range hapo 1.2M hadi 1.4M
Tatizo wauzaji wengi wa mitandaoni clone na used phone zilizochoka.. hakuna simu iliyoghushiwa km Samsung..
 
Naona vivo na oppo wamemkimbiza Apple, safi kabisa.
Yaani Apple kinachomsogeza hapo juu ni video sababu ipo vizuri sana, lakini kwa upande wa picha kashaachwa maili nyingi, siku Huawei, Oppo, Vivo na brand nyengine kubwa za Android wakimkata iPhone kwenye video, ikibaki top 10 bahati yake
 
Yaani Apple kinachomsogeza hapo juu ni video sababu ipo vizuri sana, lakini kwa upande wa picha kashaachwa maili nyingi, siku Huawei, Oppo, Vivo na brand nyengine kubwa za Android wakimkata iPhone kwenye video, ikibaki top 10 bahati yake
Ha ha ha aya bhaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…