Havikujezwa
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 185
- 96
Unataka simu nzuri,kisha unaitaja Tecno........ wakati kwa pesa hiyo unapata Samsung nzuri tu.Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
Samsung zinalipuka hakuna mtu anayetaka kutembea na fire extinguisherUnataka simu nzuri,kisha unaitaja Tecno........ wakati kwa pesa hiyo unapata Samsung nzuri tu.
Mimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
Tecno N8 ipo vizuri ina 4G bei yadukani in Tsh 199000. Bei ya mkononi ni tsh 160000. Imetumika miezi miwili ina risiti yake box lake chaja earphone.Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
Samsung zinalipuka hakuna mtu anayetaka kutembea na fire extinguisher
Hahahaha umenichekesha sana mkuuSamsung zinalipuka hakuna mtu anayetaka kutembea na fire extinguisher
Mkuu acha kumpotosha mwenzako,kwa pesa hiyo anapata Samsung j1 ace mpya kabisa na kama anavyosema anaweza kuongeza 50 akapata za aina nyingine kama Huawei, HTC, na zingine nyingi tu,ila HASICHUKUE TECNO.Mimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizozinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
mi natumia P5 toka mwaka 2011 sion shida naenjoy tu sijui labda kuna mambo nayakosaMkuu acha kumpotosha mwenzako,kwa pesa hiyo anapata Samsung j1 ace mpya kabisa na kama anavyosema anaweza kuongeza 50 akapata za aina nyingine kama Huawei, HTC, na zingine nyingi tu,ila HASICHUKUE TECNO.
Hahahahaha hatar sanaSamsung zinalipuka hakuna mtu anayetaka kutembea na fire extinguisher
Hakuna tatizo,ila yeye bajeti yake inamuwezesha kununua Smartphone "nzuri" kama alivyoomba ushauri.mi natumia P5 toka mwaka 2011 sion shida naenjoy tu sijui labda kuna mambo nayakosa
siku zote mtu husifia alicho nacho, laiti ungeujua ubovu wa tecno usingezisifia kamweMimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizozinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
Tuambie tecno gani hiyo iliyokua sawa na samsung unazo sema ni za lak tatu na kuendeleaMimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizozinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
Mkuu huyo kwa pesa yake hawez nunua c9tecno nzur kuliko zote ni tecno cannon c9 specification zake ni
camera ya mbele ni mp 13 na camera ya nyuma ni mp 13 na rama 2 gb ila bei yake laki 3+
nyingne ni tecno w4 yenye 4g
camera ya nyuma ni 8 mp
camera ya mbele ni 5 mp
ram 1gb
android version 6
bei laki mbili +
Umenena wangu mie natumia C8 ni mwaka sasa na iko poa haina chengaMimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.
Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.
Simu za Samsung zenye specs kama hizozinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.
Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.
-callmeGhost
mwanzo Laki 2, bei ya maelewano 1800000tecno nzur kuliko zote ni tecno cannon c9 specification zake ni