Simu ipi auze?

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,124
Reaction score
2,271
Habari ya majukumu wanajamvi. Samahani kuna dogo anasimu mbili na anataka kuuza moja. Kanipmba ushauri lakini mimi sina ujuzi kuhusu ipi ni simu nzuri. Hizi simu zina miezi 2 tangu apewe kama zawadi.

Simu ya kwanza ni Tecno wx3 na Samsung galaxy grand prime plus. Naombeni mnisaidie
 
Grand prime plus ni nzuri inakaa sana na chaji
 
hakuna kitu hata kimoja hio wx3 ambacho ni zaidi ya grand prime plus kuanzia resolution ya kioo, processor, camera hadi connectivity grand prime ni nzuri zaidi.
 
Ahsanteni wadau kwa wenu ushauri.
 
hakuna kitu hata kimoja hio wx3 ambacho ni zaidi ya grand prime plus kuanzia resolution ya kioo, processor, camera hadi connectivity grand prime ni nzuri zaidi.
Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…