Mimi nina laki moja ukikosa kabisa wateja yaani baada ya kushindwa wote ni PMAINA=> Samsung A6+
BEI => 200000/=
STORAGE => 64gb
CONDITION=> nzima kabisa
ILIPO=> Kilimanjaro ( Tunatuma mzigo mikoani)
BATTERY => 3500
CAMERA=> 16 megapixel
RAM => 3gb
0743762717View attachment 1498883View attachment 1498884View attachment 1498885View attachment 1498886
...huyu akizingua nicheki mimi PM , 90kMm Nina laki moja ukikosa kabisa wateja yaani baada ya kushindwa wote ni PM
Ukizingua anichek PM nina 80k...huyu akizingua nicheki mimi PM , 90k
Ukizingua anichek PM nina 70kUkizingua anichek PM nina 80k
Ukizingua anicheki PM 65kUkizingua anichek PM nina 70k
Ahhh akikataa hiyo mimi nina 60k mfuko wa shatiUkizingua anicheki PM 65k
Huyu akizingua nicheki mimi nina 50K chapu.Ahhh akikataa hiyo mimi nina 60k mfuko wa shati
Mimi nina 40k mfuko wa shati kabisaHuyu akizingua nicheki mimi nina 50K chapu.
kama wewe utazingua basi me nina 30 tena mkononi kabisa.Mimi nina 40k mfuko wa shati kabisa
Acha hivo man, mimi namtumia 20K na ya kutoleakama wewe utazingua basi me nina 30 tena mkononi kabisa.
Akizingua mkuu kuna 17k ya maji chapAcha hivo man, mimi namtumia 20K na ya kutolea
Acha hivo man, mimi namtumia 20K na ya kutolea
haaa haaa haaa
Akizingua mkuu kuna 17k ya maji chap
Nilikuwa nasubiri bei ishukeee... Mkishndwana nina 15500 chapHuyu akishindwa kuna 16500/- hapa chap kidogo!