Simu inaleta kujaza Google account tu baada ya kuiflash

Simu inaleta kujaza Google account tu baada ya kuiflash

Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
Alafu acha kutudanganya kua mkweli tu.... Ni muda toka asubuhi ulkua ONLINE JamiiForum.... Sa sijui ulkua unafanya kazi ipi....
 
kuna moja hapa baada yakubypass, quick maker>google acc manager nimeingiza email inafail communicating with google server
mwenye maujanja ase
 
Habarini wanaJf
Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account yoyote iliyo sahihi bado haifunguki naombeni msaada juu ya Hilo ile me nafikiria kuifanyia restoration labda ndo itakua solution?
Je unajua maana ya kuflash simu tuanzie hapo
 
Hiyo ni security lock kupunguzu wizi, simu nyingi za siku hizi account inabidi iondolewe kabla yafanya reset zaidi ya hapo hauwezi kuifungua kamwe bila ya ushirikiano ya aliyeweka account.

Kwa upande wa apple hii ipo hadi kwenye laptop na TV zao no ngumu sana kununua hivi vitu used inabidi mkae chini mfanye kuondoa account na reset pamoja kuwa na uhakika.

Simu nyingi mpya hakuna njia ya kulizunguka hili, scammers watakwambia wanayo solution ina ni wezi tu.
 
Mbona ukibypass tu unaweza ukaizuznguka, wengine uflash na kubadilisha Imei kabsa
 
Hiyo inaitwa FRP Factory Reset Protection flash na kuondoa imei haisaidii kitu kwa simu za kisasa na uwezekano wakuiondoa inategemea sana na simu na ina update ipi iko installed. Mfano simu za Pixel za sasa haitoki.

Ukisearch online ni rahisi kufikiri inatoka kwa kuwa kuna wezi wengi wanadandia kila thread kuhusu kuondoa FRP ina ni matapeli tu wanataka kuwaingiza watu line.
 
Back
Top Bottom