Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Apr 11, 2014 #1 Mwenye Simu mtumba.(Iliyotumika) na bado ipo ktk hali nzuri niPM SIFA. Iwe Smartphone. Mwenye Huawei Ascend D2 Samsung S2 na S3 atapewa kipaumbele. Pm pamoja na bei yake.
Mwenye Simu mtumba.(Iliyotumika) na bado ipo ktk hali nzuri niPM SIFA. Iwe Smartphone. Mwenye Huawei Ascend D2 Samsung S2 na S3 atapewa kipaumbele. Pm pamoja na bei yake.
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Apr 11, 2014 #2 wasiliana na huyu jamaa anauza cm za mtumba yupo dar, 0658100001
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Apr 11, 2014 #3 Call 0779420000 galaxy win 390,000/
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,336 Reaction score 4,328 Apr 11, 2014 #4 mimi nauza huawei U8650 ipo katika hali nzuri sana. bei ni shilingi laki moja tu na namba yangu ya simu ni 0717016789 kwa maelezo zaidi.. nipo dar es salaam
mimi nauza huawei U8650 ipo katika hali nzuri sana. bei ni shilingi laki moja tu na namba yangu ya simu ni 0717016789 kwa maelezo zaidi.. nipo dar es salaam
HPC 1 Member Joined Jan 7, 2014 Posts 83 Reaction score 25 Apr 13, 2014 #5 Kuna Samsung galaxy Ace model no. Gt-S5830i kama itakufaa ipo kwa hali nzuri tu ni Pm
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Apr 13, 2014 #6 Galaxy s2 for 350000
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Apr 14, 2014 Thread starter #7 Somji Juma said: Galaxy s2 for 350000 Click to expand... Jibu Pm Mkuu.....
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Apr 14, 2014 #8 pozzyfaza said: wasiliana na huyu jamaa anauza cm za mtumba yupo dar, 0658100001 Click to expand... Jana nlipiga mtungi unaweza kujua shida gani nliyoipata kutoka kwako??
pozzyfaza said: wasiliana na huyu jamaa anauza cm za mtumba yupo dar, 0658100001 Click to expand... Jana nlipiga mtungi unaweza kujua shida gani nliyoipata kutoka kwako??
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Apr 15, 2014 #9 shida gani mkuu
King Octavian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 403 Reaction score 353 Apr 16, 2014 #10 tecno M5 1.3 dual core, 1 gb RAM, 8 megapixel camera, andriod 4.2.2 jelly beam bei 200,000/=