Nina HUAWEI imbayo ilikuwa inaniletea hiyo msg,ambapo ikija huwezi kufanya chochote...!!Cha kufanya..!!nenda kwenye setting,ingia kwenye applications then angalia ile app ya Google voice(kama sikosei) ina rangi ya blue, ifanyie disabling na istop kabisa,hilo tatizo litaisha.Wakuu
Natumia simu aina ya HUAWEI y520
Simu hii imekuwa ikikumbwa na ta tatizo na kunitolea ujumbe unaosomeka kwamba unfortunatly phone apps has stoped huku ukipoteza network na simu kushindwa kufungua mafail mengine na kila ukitaka kufungua ujumbe huo unajitokeza tena
Wataalamu hili tatzo linatokana na nini
Na ni jinsi gani naweza kulimaliza kabsa
Ilizima kwasababu walio kuwanaitengeza walikua hawafuti mfumo ulioliwa badala yake walikua wanaingiza mfumo mpya unachanganyika na huo wa zamani dats y ikawa haiponiNayangu ilianza hovyohivyo mwisho wake inazima kabisa paka ikaflashiwe nahata ikiflashiwa unakaa miezo miwili inaanza tena paka niliamua kuitupilia mbali.ilikuwa huawei y 600
Mkuu sijaiona google voice app kwenye simu yanguNina HUAWEI imbayo ilikuwa inaniletea hiyo msg,ambapo ikija huwezi kufanya chochote...!!Cha kufanya..!!nenda kwenye setting,ingia kwenye applications then angalia ile app ya Google voice(kama sikosei) ina rangi ya blue, ifanyie disabling na istop kabisa,hilo tatizo litaisha.
Sina hakika kama inaitwa Google voice,ila ndiyo inahusika na voice huko whatsap ukitaka kurekodi sauti,ukiistop hautaweza tena kurekod sauti whatsap,angalia kwenye screen yako pale huwa kuna G+ na G nyingine yenye rangi ya blue,hiyo ndo I hold then ingia app info,then disable and stop...Mkuu sijaiona google voice app kwenye simu yangu
Huawei y300 inachip inayoitwa Qualcomm na hyo 520 inachip inaitwa mediatek....simu zenye chip ya mediatek zikiingiwa na virus hata ukizifuta(kurestore) nakuanza upya huwa haziponi tatzo linarudi kwa muda mfupi...ila hizo zenye chip ya Qualcomm huwa zinopona kabsa ukizirestore ila huwa zinatabia ya kuuwa internal memory kwa urahisi kuliko mtkHiyo simu ifute kila kitu
Nilikuwa na HUAWEI Y 300 ilikuwaga na hilo tatizo nikaifuta kila kitu
Ikawa poa