sandraeli
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 1,431
- 2,392
Habarini, naomba msaada mwenye ujuzi na hili tatizo la simu yangu ni samsung note 2 ilianza kwa kuzima ikawa ukiwasha inaonyesha samsung tu halafu haiendelei nkapeleka kwa fundi ika-flashiwa ikawaka nikakaa nayo kama siku mbili likaja tatizo la simu hai regist network, line inaandika emergence call only. Msaada jamani kwa anayefahamu nitatatua vipi.