Simu imeibwa

Nitawapa jibu baada ya mwezi. Kuna dada kaibiwa jana, nikamwambia aende idara fulani maana connection ipo kiasi na wamesema asubirie maana yake wanaweza.
mkuu usisahau
 

Ww una mawazo mgando. nakuambia hivi hakuna simu haifunguki. tena hizo android ni takataka hata iwe android 12 inatoka. FRP watu wanaifungua kwa elfu tano tuu
 
Kwamba "hawadeal na simu za bei rahisi"
Kwa hilo sio kweli, kuna jamaa yangu alikuwa na Tecno Camon na alipeleka risiti na IMEI number aliipata simu
 
Frp hio security ya Android ni danganya toto tu inatoka kirahisi.
Tena inatoka hadi kwa mikono baadhi ya hizo frp [emoji23][emoji23] sema kwa makampuni serious kama Samsung, Oppo, Xiaomi, One+ FRP yake kutoa kidogo mwizi lazima ale msoto kama sio mpunga kumtoka wa kutoa kwa Tools maalumu... Ki ukweli hiyo ni security ya kitoto sana.
 
Kwamba "hawadeal na simu za bei rahisi"
Kwa hilo sio kweli, kuna jamaa yangu alikuwa na Tecno Camon na alipeleka risiti na IMEI number aliipata simu
No comment mkuu ila i bet hela ya mafuta ilihusika.
 
Hapo yenye security kali ni oppo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno na Viwa..[emoji23]
 
mambo ni mengi mzee sio thaman ya simu tuu, pia inawezekana kuna vitu unatafuta
Siku hizi zinapatikana na ukimpata aliyeuziwa au kuiba wanamwambia akurudishie gharama zako zote. Nimeshuhudiawatu wawili wakipata simu zao na gharama kurudishiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…