Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote
Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?
Nawasilisha
motherboard yote
Inategemeana aina ya simu.kama ni zile Iphone,au sumsang versionlatest inawezekana.Ila aina nyingine ya simu nasikia inawezekana kubadilisha IMEI number hivyo ,inafuta kumbukumbu zote na inakuwa ni simu nyingine.ila pia nilambiwa zinauzwaga kwa mafundi simu kwa ajili ya spea.Yaani zinachinjwa kama wanavyofanya kwenye magariWandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote
Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?
Nawasilisha
Shukran MkuuInategemeana aina ya simu.kama ni zile Iphone,au sumsang versionlatest inawezekana.Ila aina nyingine ya simu nasikia inawezekana kubadilisha IMEI number hivyo ,inafuta kumbukumbu zote na inakuwa ni simu nyingine.ila pia nilambiwa zinauzwaga kwa mafundi simu kwa ajili ya spea.Yaani zinachinjwa kama wanavyofanya kwenye magari
Kingine cha mhimu wewe nenda kareport police ili uwe safe ,isije simu yako ikatumika kwenye uhalifu.Waachie na namba ya yako unaweza kuipata.maana na wao wakiipata hiyo simu ni ulaji.wanaanzaga na mkwara kwa aliyekamatwa kwamba hii simu ilipoibiwa na mauji yalitokea ili kumtia jamba jamba mwizi. so utapata simu na wao wanapata chao.
Ila usiingie cost zaidi sababu pia ni bahati nasibu kama simu itapatikana
Unataka kumfanyaje mwizi wako!Wandugu na JF Experts Poleni na Majukumu mchaka mchaka ndo uo kila siku ni Kuhangaika...salamu kwenu nyote
Okay ni Hivi Nauliza kuna Namna yoyote inaweza fanyika kwa simu iliyo ibiwa ikapatikana? Nilisha wai sikia kuhusu TCRA na Polisi huku nako kuna uhafadhali kweli?..na Taratibu zao zipoje mpaka simu kurudi?
Nawasilisha
@Chief-Mkwawa Mambo Vipi!!!!!Polisi wanafuatilia na wana uwezo wa kurudisha simu kama una imei na ushahidi kama risiti ama boksi la simu kuwa hio simu ilioibiwa ni yako.
Sema mara nyingi hawadeal na simu za bei rahisi, ukiwa na iphone ama galaxy S/note wanakusaidia ukiwa na hela ya mafuta.
ndio wanaweza ila inabidi uwa convice. polisi wana track na imei, kama una imei ya hio simu, ama box ama risiti ama chochote cha kuthibitisha wapelekee, kikawaida hawajali feature phone ama smart ya bei rahisi ukipoteza.@Chief-Mkwawa Mambo Vipi!!!!!
Polisi Wanaweza Nisaidia Kuipata Simu Ambayo Sio Smartphone????
Lengo Langu Ni Kumpata Mwizi Na Kumtia Adabu Kidogo. Kuna Madogo Wanajifanya Masela Mavi Sana Uswahilin Kwetu Huku
Chief-Mkwawa
Hapana mkuu
kifupi mwizi aliacha simu,pesa yako,pesa ya afande,na pesa ya kufuta kesi[emoji23]Mi walinikwapulia kimeo changu walivunja kioo chanyuma cha gari wakapita nayo
Nikaenda polisi ilikua Singida,
Nikaambiwa niache imei no, kisha wakanambia kwakuwa jamaa wanao deal na kitengo cha ku trace(sijui ni akina nani) wapo bize sana inabidi tuwape ahadi waishughulikie fasta na wakiiona tu ipo hewani niwape elfu 50.
Baada ya hapo kama simu itakua mbali inahitaji nauli kufika basi nauli ntatoa mimi
Na baada ya simu kupatikana aliyekamatwa nayo atarudisha gharama zangu zote
Na ndio ilivyokua
Baada ya wiki simu ikaonekana nikawapa elf50 na nauli elfu 10
Baada ya siku tatu nikapigiwa simu nikaenda kuichukua na elfu 60 zangu
Ila mwizi wangu sikumuoma [emoji65]
π π π π π πna pesa ya kufuta kesi