nenda tcra., utapewa,, pale wataifatilia na kujua mtu anayeitumia,,then atakamatwa,
WAandugu habarini nimeibiwa simu aina ya sumsang J5 grand prime. Nimeripot kituo cha police na kufungua jalada la uchunguzi. Nina IMEI namba za hiyo simu. Kikubwa nilipapuliwa na Boda Boda wakati npo nnaongea. Nnaombeni ushauri na namna nnaweza ipata simu yangu. Natanguliza shukrani
hahaha .. anakupanga kisaikolojia ili akutoe pesa . ahahha wabongo bwana wezi sana.Asanteni kwa michango, kwa kweli kuibiwa simu tena smart phone nilihisi kunyanganywa kila kitu! Mimi ndo nnaenda tcra au mpelelezi wangu? Tafadhari tusaidiene kwenye hili maana huyu mpelelezi anasema kupata print out kwamba inasumbua!
Mpelelezi atataka pay mwisho wa siku we nenda nwenyeweNipo dar mkuu, je mm ndo nnaenda tcra au mpelelezi?
Kwani boda boda hukuichungulia plate namba hata kwa mbali?. Ulishindwa kuchukua boda ya dharula jirani yako na kuifukuzia?, pole sana....ila utapata simu yako japo muda utakuwa umeenda sana
Dah pole sana!Boda Boda ilikua MC352 helufi zilizoendelea sikuweza zipata. Hapakuwa na boda boda karibu hata watu msaada ningeweza pata kambi ya jeshi lakini wao wamejifungia ndani ya ukuta mpaka kufika getini alikua ashatokomea
mkuu kama simu iliibiwa na gps ilikuwa ipo off na data off, je hiyo device manager itaoneshaSometime unaweza kuipata kwa email incase hajaiflash.
Ingia playstore na simu nyengine search device manager au find my device kisha login na email ya simu ilioibiwa na ujaribu kuitrack.