Simu yagoma kuwaka pamoja na kuichaji

Simu yagoma kuwaka pamoja na kuichaji

Joined
Nov 20, 2015
Posts
90
Reaction score
16
Wana JF nisaidien nifanyeje ili simu yangu ipone, ni tecno p5 ilizima baada ya kuishiwa chaji sasa nilpoichaji na ikajaa sasa imegoma kuwaka kabisa. Leo siku ya tatu najaribu inashindikana lakini hapo nyuma ilikua na tabia ya kustack Mara kwa Mara, nawasilisha.
 
ukiiwasha kioo ni cheusi kabisa au ainatoa hata logo then haiendelei kuwaka?
 
Back
Top Bottom