mzaramo halisi Member Joined Jul 8, 2013 Posts 94 Reaction score 25 Aug 6, 2013 #1 Nokia 1100 ( sold 150 million Units) Attachments uploadfromtaptalk1375814386046.jpg 19.3 KB · Views: 214
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,234 Aug 7, 2013 #2 nafkiri data hizo ni za zamani hadi mwezi wa pili mwaka huu kitochi kile cheusi na button za kuvimba kilikua kishauza zaidi ya 100m mpaka sasa possibly kishavunja hio rekodi.
nafkiri data hizo ni za zamani hadi mwezi wa pili mwaka huu kitochi kile cheusi na button za kuvimba kilikua kishauza zaidi ya 100m mpaka sasa possibly kishavunja hio rekodi.
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,432 Aug 7, 2013 #3 mzaramo halisi said: Nokia 1100 ( sold 150 million Units) Click to expand... nahisi asilimia 60 ya mauzo yake yalitokea afrika hasa kusini mwa janga la sahara!!
mzaramo halisi said: Nokia 1100 ( sold 150 million Units) Click to expand... nahisi asilimia 60 ya mauzo yake yalitokea afrika hasa kusini mwa janga la sahara!!
InVinoVeritas Member Joined Jul 20, 2013 Posts 14 Reaction score 14 Aug 7, 2013 #4 Nokia 1110 sold estimated 250 million units
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Aug 7, 2013 #5 InVinoVeritas said: Nokia 1110 sold estimated 250 million units Click to expand... Upo Sahihi Mkuu Hata Wikipedia Imeandikwaaaa Attachments Scr000059.jpg 18.4 KB · Views: 352
InVinoVeritas said: Nokia 1110 sold estimated 250 million units Click to expand... Upo Sahihi Mkuu Hata Wikipedia Imeandikwaaaa
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,273 Aug 7, 2013 #6 Hii simu hata mimi niliwachangia NOKIA
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,381 Reaction score 4,766 Aug 7, 2013 #7 Hii ndyo simu ya ukweli inakaa na chaji wiki nzima full network.hzo sijui smartphon mbwembwe tu!!
R royna JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 479 Reaction score 336 Aug 7, 2013 #8 nami nilishakuwa nayo. nzuri sana!
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Aug 7, 2013 #9 pandagichiza said: Hii ndyo simu ya ukweli inakaa na chaji wiki nzima full network.hzo sijui smartphon mbwembwe tu!! Click to expand... Wengine wanakula maisha mjini kwa kutumia hizohizo smartphone!
pandagichiza said: Hii ndyo simu ya ukweli inakaa na chaji wiki nzima full network.hzo sijui smartphon mbwembwe tu!! Click to expand... Wengine wanakula maisha mjini kwa kutumia hizohizo smartphone!
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Aug 7, 2013 #10 hata niwe na smatphone phone kali kiasi gani, sikosi Nokia ya tochi.!!!