Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 May 21, 2023 #21 Rest In Peace Queen Elizabeth. Wakati unafariki sikuwa na simu ilikuwa kwa fundi. Kifo chango kimenisikitisha sana.
Rest In Peace Queen Elizabeth. Wakati unafariki sikuwa na simu ilikuwa kwa fundi. Kifo chango kimenisikitisha sana.
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 3,034 Reaction score 4,269 May 23, 2023 #22 Kennedy said: View attachment 2629502 Click to expand... Mimi yamenikuta bhana
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 3,034 Reaction score 4,269 May 23, 2023 #23 Eeeh bhana Manzi angu anayekaa Dsm jana usiku simu yake ilikuwa inaita tu. Na amekuja kupatikana hewani leo Asubuhi nikamuuliza mbona ulikuwa hupatikani akajibu simu yangu ilidondokea kwenye maji ya Mchele . Mapenzi ya mbali haya yana wenyewe asee
Eeeh bhana Manzi angu anayekaa Dsm jana usiku simu yake ilikuwa inaita tu. Na amekuja kupatikana hewani leo Asubuhi nikamuuliza mbona ulikuwa hupatikani akajibu simu yangu ilidondokea kwenye maji ya Mchele . Mapenzi ya mbali haya yana wenyewe asee
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 May 23, 2023 #24 Simu ilikuwa kw fundi. Mbona imepokelewa na mwanamke! Ndio fundi mwenyewe huyo.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,745 Reaction score 50,143 May 23, 2023 #25 Nitumie fursa kutoa pole kwa mama janeth mtanisamehe kwa kuchelewa simu ilikua kwa fundi