Simu ghali zaid duniani ni ipi?

Simu ghali zaid duniani ni ipi?

Even technology.

-camera zao ni hasselblad certified google hilo neno uone how expensive zilivyo hizo camera na quality pia.

-personal assistant sio siri wala cortana bali ni mtu wa kweli

-hizi simu ni ticket ya kuingia kwenye party au makutano ya mabilionea

Nk

Zimeingia soko la Tanzania?
 
Even technology.

-camera zao ni hasselblad certified google hilo neno uone how expensive zilivyo hizo camera na quality pia.

-personal assistant sio siri wala cortana bali ni mtu wa kweli

-hizi simu ni ticket ya kuingia kwenye party au makutano ya mabilionea

Nk
Mkuu nime Google nimeona wanatumia os ya Android, ina maana ni Android hii tunayoitumia wote?

Ina maana bei zao zipo kwenye Housing tu sio kwenye os?
 
yap hardware tu, ila kuna service kama personal assistant inakuwa integrated kwenye os na huduma nyengine ambazo hutazipata kwenye android ya kawaida.
 
Back
Top Bottom