Poleni na mapambano ya Covid-19,naomba mapendekezo ya simu nzuri ninayoweza kununua kwa budget ya 800K mpk 1M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
-Kwa hio budget specs wise kwa laki 8 nunua redmi k20 pro, ni simu yenye value kubwa kushinda zote kwa sasa.Poleni na mapambano ya Covid-19,naomba mapendekezo ya simu nzuri ninayoweza kununua kwa budget ya 800K mpk 1M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri ngoja nione uwezekano wa kuadjust.Adjust budget kidogo utulie kwenye iphone x. Iphone 8plus ni nzuri lakini kama ni mtu wa kupenda vitu vizuri utaochukia ndani ya mda mfupi ukija gundua kwamba ikikaa kwenye cover haitofautiani sana na iphone 7Plus.
Sent from my iPhone using JamiiForums
-Kwa hio budget specs wise kwa laki 8 nunua redmi k20 pro, ni simu yenye value kubwa kushinda zote kwa sasa.
-ku stretch budget mpaka hio 1m ama kuzidi kidogo kuna oneplus 7t ama Asus rog phone 2. Hii oneplus ni overall simu nzuri imebalance camera, battery, display etc. Na Hii rog phone ni nzuri kwa Geeks kama unataka simu yenye perfomance kubwa speaker zinazotoa, port 2 za kuchajia na feature nyengine ambazo ni nadra kuzikuta simu za kawaida.
Pia angalia simu kama galaxy s10/s10+, note 10, huawei p30 pro na flagship nyengine za mwaka jana , ukipata deal zuri kwenye budget yako pia chukua.
Tafuta XIAOMI latest product hautojutia kwa maana hizi bidhaa zipo vizuri sana.
Poleni na mapambano ya Covid-19,naomba mapendekezo ya simu nzuri ninayoweza kununua kwa budget ya 800K mpk 1M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi kuhusu iPhone 11 Pro Max?-Kwa hio budget specs wise kwa laki 8 nunua redmi k20 pro, ni simu yenye value kubwa kushinda zote kwa sasa.
-ku stretch budget mpaka hio 1m ama kuzidi kidogo kuna oneplus 7t ama Asus rog phone 2. Hii oneplus ni overall simu nzuri imebalance camera, battery, display etc. Na Hii rog phone ni nzuri kwa Geeks kama unataka simu yenye perfomance kubwa speaker zinazotoa, port 2 za kuchajia na feature nyengine ambazo ni nadra kuzikuta simu za kawaida.
Pia angalia simu kama galaxy s10/s10+, note 10, huawei p30 pro na flagship nyengine za mwaka jana , ukipata deal zuri kwenye budget yako pia chukua.
Nzuri mkuu sema hawezi kuipata kwa hio budget. Kama uwezo unaruhusu na unapenda ios hakuna iphone nzuri kushinda hio.Mkuu vipi kuhusu iPhone 11 Pro Max?
Hayo ma iphone ni ya zamani hamna kitu hapo.Chukua IPhone 7 Plus ama IPhone 8plus kwa budget yako hutajutia,lakini kama wewe ni mpenzi wa simu za China virus chukua Huawei P20 pro ni simu na nusu
@shimanjix
Sent using IPhone X
Hayo ma iphone ni ya zamani hamna kitu hapo.
Poleni na mapambano ya Covid-19,naomba mapendekezo ya simu nzuri ninayoweza kununua kwa budget ya 800K mpk 1M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana chief nilifikiria pia hiyo Oneplus 7t nashukuru sana kwa mawazo mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauriChukua IPhone 7 Plus ama IPhone 8plus kwa budget yako hutajutia,lakini kama wewe ni mpenzi wa simu za China virus chukua Huawei P20 pro ni simu na nusu
@shimanjix
Sent using IPhone X
Chukua mnyama anaitwa Redmi Mi9T wanaaita Alita hii ipo vizuri kila idara speed inawakimbiza iphone 11, samsung s10 na kubwa kubwa nyingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua S9 plus au A70 ,kama unataka kujaribu ulimwengu wa iPhone chukua iPhone 8 ila ukipata X ni better deal.