Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 689
hizi hapa simu nzuri zinazokaa na chaji na kioo kuanzia inch 5.5
1. galaxy A8
2. meizu pro 5
3. lenovo zuk Z1
4. galaxy j7
5. galaxy note 4
kati ya hizo 5 hio meizu 5 pro ndio kali kuliko zote lakini upatikanaji wake ni mgumu, pia ukumbuke ni meizu 5 pro na sio meizu 5.
galaxy note 4 ni simu nzuri overall inayopatikana kirahisi.
kwa line mbili kama unataka galaxy A8 duos ni nzuri
Mkuu hiyo Meizu 5 pro inapatikana duka gani kwa DSM?