Habai zenu wakuu..
naombeni ushauri napata simu gani nzuri nikiwa na Milioni moja.
sifa:
UTUNZAJI WA CHAJI
CAMERA NZUUUUUUURI SANA
BRAND NEW(SIO USED)
haka kadogo sana mkuu...
atleast iwe 5.5
Habai zenu wakuu..
naombeni ushauri napata simu gani nzuri nikiwa na Milioni moja.
sifa:
UTUNZAJI WA CHAJI
CAMERA NZUUUUUUURI SANA
BRAND NEW(SIO USED)
hizi hapa simu nzuri zinazokaa na chaji na kioo kuanzia inch 5.5
1. galaxy A8
2. meizu pro 5
3. lenovo zuk Z1
4. galaxy j7
5. galaxy note 4
kati ya hizo 5 hio meizu 5 pro ndio kali kuliko zote lakini upatikanaji wake ni mgumu, pia ukumbuke ni meizu 5 pro na sio meizu 5.
galaxy note 4 ni simu nzuri overall inayopatikana kirahisi.
kwa line mbili kama unataka galaxy A8 duos ni nzuri
Nunua simu ya laki mbili na hizo hela zingine wekeza mahali fulani baada ya muda utakua na faida nyingi hata mbuyu ulianza kama mchicha usije nunua simu milioni alafu unaishi nyumba za kupanga ama kwa wazazi utakua unamatatizo mkuu (ni ushauri wangu tu kwa vijana wenzangu) (/colour)=red(color)home alone
Pia kuna Lenovo vibe P1 nayo ni nzuri japo bei yake haifiki million.hizi hapa simu nzuri zinazokaa na chaji na kioo kuanzia inch 5.5