Simu gani bomba ya Android?

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Habari wakuu, nataka badilisha simu kwa sasa. Nataka simu Android, yenye camera kali, ram ya kubwa nzuri na storage ya kutosha. Simu gani yanifaaaaa?

Isiwe tecno, huawei au infix. Ushauri. Wazee

Mrejesho , nimepita kwa wakala flan nikashawishika kununua OPPO, RAM GB8, STORAGE 128GB, Camera ipo safi.

Nilitafuta Oneplus, pixels sikuweza kuzipata
 
useme una kiasi gani cha pesa,sio uchoshe watu halafu usinunue simu utayotajiwa.
Sio billionaire ,ila hala ya kununua simu za kawaida haisumbui, so tafadhari tubaki ktk hoja, boss wangu.
 
Sio billionaire ,ila hala ya kununua simu za kawaida haisumbui, so tafadhari tubaki ktk hoja, boss wangu.
Hela ya kawaida pia tunatofautiana kuna Mil.1,Mil.2 kuendelea mpk 5M

hizo ni hela za kawaida,hoja yako itakamilika ukiweka Bajeti yako pia tujue

tunakushauri simu ya hela ya kawaida ya kuanzia kiasi gani mpk kiasi gani.
 
Habari wakuu, nataka badilisha simu kwa sasa. Nataka simu Android, yenye camera kali, ram ya kubwa nzuri na storage ya kutosha. Simu gani yanifaaaaa?

Isiwe tecno, huawei au infix. Ushauri. Wazee

Nokia 8.3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom