Hapa namtetea Mchina, neno ni mchina ni Dhana kwa maana bidhaa zake limetokana na uelewa wetu mdogo lakini pia umasikini wetu. kati ya nchi zinazo tengezena vifaa imara ni pamoja na China, labda kwa asiye jua, iphone original zote unazo zijua geuza nyuma utapata jibu, kwa wale wavaaji wa mikanda ya viunoni na viatu mtumba mtabaini kuwa vimetengenezwa china na kuuzwa UK,USA na kwingineko. waziri mkuu wa china alipo kuja hapa waandishi wa habari walitaka kujua ni kwanini China imekuwa kinara wa kuuza vitu hapa nhini vilivyo chini ya ubora, majibu ya waziri mkuu wa China yalikuwa hivi.
Katika taifa letu vifaa vilivyo tengenezwa chini ya ubora, ni maalum kwa soko la ndani, na hatuna sela inayo zuiia visiunzwe nje, na alijaribu kuweka wazi kuwa tatizo ni wafanya biashala wetu wanapo kwenda china na kutoa order kwa vitu vilivyo chini ya kiwango abmbavyo wanajua kuwa vinawapa faida maradufu.