Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 793
They can afford to crone the outer case, lakin hawataweza kuweka processor ya A5 au nyingine yoyote iliyokasi na still wakauza kwa bei chee, nilishawahi kukutana na iPhone 4S fake kwa jamaa mmoja mtaani anadai ni za deal, nilvoishika the housing is really convincing, nilvoiamsha ni kichekesho, kitu kiko slow mbaya, nikamwambia mchina hii, jamaa kakomaa kitu original, nikachomoa 4S original mfukoni nikamwambia aishike...hakuishika hata kuishika akachukua toy lake na kutokomea!
Njia Rahisi kabisa za kujua smartphone original;
Njia Rahisi kabisa za kujua smartphone original;
- Angalia body yake, most of the smartphones zina finish ya hali ya juu, hilo likikuconvince,
- Iwashe, angalia inadisplay logo gani, nyingine hazionesh hata logo ya apple, zingine logo yake kuuubwa nk, ukiiona iko sawa nenda hatua nyingine,
- Angalia home resolution,
- Angalia home icons, apps zote za zipo?..hakuna app nyingine ya kutiliwa mashaka?
- Jaribu kuitumia kupekua kurasa, inarespond upesi ama inaload kizee?
- Kama bado una mashaka, mwambie aweke line kisha ingia mtandaoni kwa kutumia app store ya apple, jaribu kudownload app yoyote hata ya free, kama ni fake most likely itakataa kuinstall
- Tumia serial number kuicheki simu kwenye mtandao wa apple!