Simu enzi hizo: Njoo tukumbushane tulipotoka

Simu enzi hizo: Njoo tukumbushane tulipotoka

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,700
Hapo zamani, kidogo kabla ya ulimwengu wa "simu janja". Haujaja hapa bongo. Tulikuwa na simu zetu na tulizipenda sana. Mimi nilikuwa na simu mwishoni mwa miaka ya 2005. Nilianza kujua mini maana ya "internet".

Basi nilikuwa addicted sana na symbian tofauti tofauti kama Nokia N95..E22, 6030b pia vile vile nilitumia Motorola L6 Na L7 nilipenda sana umbile lake pamoja na uniqueness.. Kwa kipindi kile. Ila mwishoni mwa miaka ya 2011 nikaanza kujua Smartphone. Ilikuwa ni HTC hero ilikuwa ni cupkake (1.5 android version) mpaka Leo nipo na 4.4.4kitkat.

EMBU SEMA NA WEWE SIMU ULIZOZITUMIA ENZI HIZO PAMOJA NA FEATURES ZAKE ULIZOKUWA UKIZIPENDA.
 
Njoo tukumbushane tulipo toka
 
Mimi nlozoea simu ya kuandika mfano NJOO HARAKA BABA MGONJWA MIMI ZEE LA NYETI baada ya kuandika unapeleka posta unalipia inatumwa kwa muhusika baada ya wiki au mwezi anaipata
 
Nilianza na
siemens A45
Siemens C55
Motorola V220
Motorola L6i
.
.
.
.
.
..
.
Na zote hadi sasa zipo kwenye makumbusho yangu.
 
Dah umenikumbusha mbali
nmetumia simu nyingi sana za kichina included but nlizokubali ni hizi

n6030b - maujanja yangu ya internet kwa asiimia kubwa yalitokea humu hii ilipotea,
n3600 slide - 1 of my favorite hii rafiki yangu nliyemuazima alitapeliwa na watoto wa mjini buguruni last year,
samsung galaxy Pop i559 - ulimwengu wa android for the 1st tym, nilitumia siku 4 watoto wa town wakaichukua buguruni
samsung galaxy y - hii mashime ilipata majanga mengi sana mpaka kuvunjika display ipo kabatini kwa sasa.

kwa sasa nmebaki na
tecno m3 - for download
s duos 7562
s3 mini na
nokia Asha 200 - hii special kwa mb 8
 
Kabla ya cmu janja...

Siemen c35
Nokia 3310 jeneza
Motorola c350
Nokia 2100
Nokia 3100
Sendo s50*
Nokia 1100
Nokia 6030
Nokia 6630
Siemens C70
Nokia 2630
Samsung s3653
 
Siemens mshindi ndefu hivi ina unavuta erial kama radio na line ya tritel ukipiga ukipigiwa unakatwa pesa.
Motorola T190.
Siemens C35.
 
Samsung ilikuwa na mkonga(2006)
Motorola c113(2008)
Smadl mchina(2009)
Nckia mchina (2010)
Samsung Gte2222 (2012)
Tecno 506 (2013)
Tecno s3 Smartphone (2014)
Tecno H5 smartphone (2015)
 
Siemens c25
Siemens c35
Huawei sijui inaitwaje
Nokia
Nokia N 75
Nokia N 95
Huawei u88.....
Samsung young
Tecno
Huawei y300
Sony Xperia z1 😛
 
Siemens c35
Nokia 2600
Nokia 3110
nokia express music × 2
Nokia asha 200
Nokia asha 501
Tecno s3
Huawei 511
Huawei 530
Huawei G7
 
Nina list ndefu kwakweli maana nilianza kubadili simu kama mwendawazimu nilipojua nini maana ya internet 2006 kipindi hicho hakuna cha kifurushi mzee. Ni kuweka vocha na kuanza kukamua data.
 
mi nilianza na nokia 3310 hiyo ilikuwa 2002,vibration yake tu ilikuwa inanikosha hasa ukiiweka mezani halafu ikapigwa utasikia vuuuuu vuuuuuu vuuuuuu....raha sana
 
Dah umenikumbusha mbali
nmetumia simu nyingi sana za kichina included but nlizokubali ni hizi

n6030b - maujanja yangu ya internet kwa asiimia kubwa yalitokea humu hii ilipotea,
n3600 slide - 1 of my favorite hii rafiki yangu nliyemuazima alitapeliwa na watoto wa mjini buguruni last year,
samsung galaxy Pop i559 - ulimwengu wa android for the 1st tym, nilitumia siku 4 watoto wa town wakaichukua buguruni
samsung galaxy y - hii mashime ilipata majanga mengi sana mpaka kuvunjika display ipo kabatini kwa sasa.

kwa sasa nmebaki na
tecno m3 - for download
s duos 7562
s3 mini na
nokia Asha 200 - hii special kwa mb 8

Jwaninu Asha iwe special kwa mb8?
 
Back
Top Bottom