Simu bora yenye Speed katika internet ni ipi?

mkuu chief-mkwawa mbadala wa hiyo nokia e5; nikimaanisha yenye uwezo kama huo lakini button zake sio za qwerty ni ipi?
 
Last edited by a moderator:
Hata Nokia Asha 200 ni nzuri huku Tarime ni Tshs 170,000/= iko poa kwa hizo mambo za net na pia java applications. Yaani ukitaja hayo maOperamini mzuka unanipanda yametulia. Nimeanza kuyatumia 2007

Asha 200 itakuzingua,inasumbua sana net,very slow
 
tumia E71 tu inatosha kabisa mana itakurahisishia mambo mengi sana ,jaribu we mwenyewe utaniambia
 
nokia E61i ndo kila kitu kuhusu net speed
 
mkuu chief-mkwawa hiyo candybar c5-00 inasapoti 3G kwenye internet??
Na kama sio naomba unisaidie aina nyingine ambayo ni affordable price iwe ni nokia
 
yah inasupport tena ni better zaidi ya modem mpya za voda (e173 na e303 ) ambazo ni 7.2 simu hii ni 10 mbps

sema be carefull ni c5-00 nyuma imeandikwa 5mp na sio c5 za kawaida ambazo ndio nyingi
 
Chief Mkwawa i salute u! Kwa kuzijua simu za nokia tu nakupa mia! Ila kwa nini usibadili hili jina ujiitte MR. NOKIA? Maana mzee unatisha, baba lumia niambiiiiiiiieeee!
 
mkuu nokia ndio kila kitu binafsi hata mimi nazikubali sana
 
kaka nipe bei ya hiyo nokia c5-000,naipenda sana hyo cmu,mimi niko dsm
 
Chief Mkwawa i salute u! Kwa kuzijua simu za nokia tu nakupa mia! Ila kwa nini usibadili hili jina ujiitte MR. NOKIA? Maana mzee unatisha, baba lumia niambiiiiiiiieeee!

mkuu ila sku hizi wanatuforce tuhamie touch screen hawatoi tena simu za qwerty na candybar za ukweli kama zamani tunabaki bila choice ila kuhamia touch screen. Wish watoe lumia yenye keyboard hata ya kuslide kiupande
 
Nunua Nokia 6730c. Ina umbo zuri, si kubwa, ina 3.5G network,. Ni rahisi kutumia, i hope chief mkwawa anaweza kuinyambuanyambua vyema specification zake.
 
Last edited by a moderator:
yah inasupport tena ni better zaidi ya modem mpya za voda (e173 na e303 ) ambazo ni 7.2 simu hii ni 10 mbps

sema be carefull ni c5-00 nyuma imeandikwa 5mp na sio c5 za kawaida ambazo ndio nyingi

daaah! Sasa mbona mkuu hapo naweza ingia chaka mimi dukani na hapa net nimezikuta nyuma zimeandikwa c5-00; inakuwaje hapo!?
 
ndo hio hio mkuu nyuma imeandika 5 megapixel unaweza tusaidia na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…