Simu bora yenye Speed katika internet ni ipi?

Nokia X2-01.
Binafsi naikubali sana hasa unapo2mia voda internet. Iko simple lkn sidhani kama kuna ki2 inamiss. Just around 130,000 brand new. Nafkir zilitoka mwaka jana August 2011.
 
uongo sio mzuri acha hizo mkuu..

ingia hapa Nokia Asha 200 - Full phone specifications

Sasa hizo uongo zangu ni gani au ni vile nimesema huku Tarime inauzwa 170,000/= mimi sikusema hayo mabei ya huko kwenu. Na kama ni vile nimesema Operamini nimeanza kuitumia 2007 ni kweli na kama hauamini bofya hapa http://my.opera.com/Wambura1/about/ Baada ya hapo unisamehe kwa hizo uongo niko nazo sababu ni mmoja tu ndiye mkweli yaani Muumbaji.
 
Hallo Ghian Carter. Simu aina ya Huwaei model U8650, itakufaa sana ina android,screen kubwa na features nyingi unazoweza pata kwenye simu Za bei chafu. Wauzaji ni tiGo bei tzs 195000/-.kama upo Dar nenda mlimani city.
 

chief E5 mkononi kwa mia wapi huko!? Kwni nahitaji hiyo.
 
Vipi NOKIA N8 kwa hapa bongo tsh ngapi wakuu?
 
i nokia c5-00 5mp.............hii cm bei yake inarange vip? na je ni smartphone?
 
Okay, nimekupata kaka mkuu. Sasa kama wauzaji ni tigo sio ya single line kweli hiyo? Asante
 
Sio simu hii, ni OS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…