Simu bei cheeeeee, Samsung galaxy note 3

Simu bei cheeeeee, Samsung galaxy note 3

Masimu watu mmetumia,mmeanza kuona yanaleta matatzo,mnaamua kuwaachia watu wasojulikana

Ukiona mtaani kwako haiuziki hyo SIMU NI TATZO,binafsi napenda sana watu kufanya biashara ya kuuziana vitu kwa watu mbalimbali lakini biashara ya SIMU zilizotumika inautapeli mkubwa sanaaa
 
Hiyo note Ina walakini sana ebu angalia hapo kwenye simcard inaonesha Hamna Kule kwenye mnara wa kusoma mtandao Upo full kabsa, hapo ukiachana na WiFi
 
Back
Top Bottom