Kwa maana hiyo hiyo ,simu refurbished zote ni mtumba sio?80% ya simu zote za samsung na iphone zinazouzwa apa tanzania ni refubrished na hii inakokana na kwamba simu ambazo ni brand new kabisa uwa ni bei kali mno kulingana na izi za refubrished ivyo kama unataji simu mpyaa kabisa usiwe na pesa ya kubabaisha ofisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanini mkuu...?80% ya simu zote za samsung na iphone zinazouzwa apa tanzania ni refubrished na hii inakokana na kwamba simu ambazo ni brand new kabisa uwa ni bei kali mno kulingana na izi za refubrished ivyo kama unataji simu mpyaa kabisa usiwe na pesa ya kubabaisha ofisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuwa refurbished sio kuwa mtumba,simu inaweza kuwa mpya kabisa,baada tu ya kuanza kuitumia unaweza kukuta ina manufacturing defect,na kwa kuwa huwa zinakuwa ndani ya warrant zinarudishwa kwa muuzaji,inarekebishwa then inauzwa tena,kwahiyo sio mtumba ambao unakuwa umeshatumika kwa mtu mwingine,hapa usichanganye na used phone na ndio maana tofauti yake na mpya huwa inakuwa ndogo sana...Kwa maana hiyo hiyo ,simu refurbished zote ni mtumba sio?
Kwa maana hiyo hiyo ,simu refurbished zote ni mtumba sio?
Kwanini mkuu...?
Mkuu umeshaelezewa maana ya Refurbished, kuongezea kunaKwa maana hiyo hiyo ,simu refurbished zote ni mtumba sio?
InterestingNikupe njia rahisi.
Ukinunua samsung S series na Note series
Kuanzia S4 na note 3 hizo zote lazima ziwe Reffub. Unless umenunua kwa Dealer au muuzaji anaeaminika.
Usipagawe na warrant na mbwembwe za wauzaji wajanja
Ukinunua Iphone, Hizi zote kwa Nchi yetu ni Refub. Hata ukiagiza China kuna 90% ya kupata Refub.
Kama Unataka Genuine nenda Apple store. Na huko ukijichanganya kama kunawauzaji sio waaminifu wanaweza wakachukua Refub wakakuuzia kama Genuine.
Simply. Refub ni kama Kubet tuu. Unaweza pata Device nzuri au mbaya. Hapo ni 50/50
Au mnasemaje mods wa JF
Sawa mkuu nimekupataMkuu umeshaelezewa maana ya Refurbished, kuongezea kuna
-manufacture refurbished ambayo mtengeneza simu mwenyewe kama Apple ama Samsung ndio anaitengeneza na kuiuza tena
-Seller refurbished ama zifananiazo, hii ni muuzaji tu anafanya marekebisho na kuiuza tena.
Refurbished za kibongo bongo ni pasua kichwa na zina matatizo sugu, nyingi zina over heat, zimetolewa lock za mitandao, hazina support ya manufacture, hazikutengenezwa kwa ajili ya mazingira ya kitanzania etc. Ni vyema kuziepuka kama huna uelewa nazo.
Nikupe njia rahisi.
Ukinunua samsung S series na Note series
Kuanzia S4 na note 3 hizo zote lazima ziwe Reffub. Unless umenunua kwa Dealer au muuzaji anaeaminika.
Usipagawe na warrant na mbwembwe za wauzaji wajanja
Ukinunua Iphone, Hizi zote kwa Nchi yetu ni Refub. Hata ukiagiza China kuna 90% ya kupata Refub.
Kama Unataka Genuine nenda Apple store. Na huko ukijichanganya kama kunawauzaji sio waaminifu wanaweza wakachukua Refub wakakuuzia kama Genuine.
Simply. Refub ni kama Kubet tuu. Unaweza pata Device nzuri au mbaya. Hapo ni 50/50
Au mnasemaje mods wa JF
Samahani sasa iPhone ya makumbusho na store mlimani city wapi kwenye sm zinazofaaSababu kubwa uwa ni bei uwa ni poa na kawaida kumbuka simu izi ndio simu nyingi kuliko apa tanzania na sio apa tu nchi kalibia zote kwa mfano mtu anayeitaji kununua simu za iphone za mwaka majuzi kushuka chini asilimia 90% uwa ni Refubrished kwa kua apple wakitoa toleo jipya la simu wanasitisha kuzalisha toleo lililopita baada ya muda
Na ukitaka kujua tofauti ya bei nayosemea apa nenda apple store mlimani city ulizia iphone x alafu njoo makumbusho ulizia iphone x alafu wote mkishanunua kuna kua hakuna utofauti maana wote mnakua mnatumia iphone x [emoji1787][emoji1787] sasa akili kichwani mwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Itabidi mkuu nikulipe twende wote ukanisadie kwa maelezo yako naweza kuingia chaka Nina mpango wa kununua iPhone na samsungNikupe njia rahisi.
Ukinunua samsung S series na Note series
Kuanzia S4 na note 3 hizo zote lazima ziwe Reffub. Unless umenunua kwa Dealer au muuzaji anaeaminika.
Usipagawe na warrant na mbwembwe za wauzaji wajanja
Ukinunua Iphone, Hizi zote kwa Nchi yetu ni Refub. Hata ukiagiza China kuna 90% ya kupata Refub.
Kama Unataka Genuine nenda Apple store. Na huko ukijichanganya kama kunawauzaji sio waaminifu wanaweza wakachukua Refub wakakuuzia kama Genuine.
Simply. Refub ni kama Kubet tuu. Unaweza pata Device nzuri au mbaya. Hapo ni 50/50
Au mnasemaje mods wa JF
Noo need ya kunilipa man. Nenda Maduka mahsusi (Stores) huko utapata bidhaa husikaItabidi mkuu nikulipe twende wote ukanisadie kwa maelezo yako naweza kuingia chaka Nina mpango wa kununua iPhone na samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ulikuwa unajazilizia nilichosema au una argue. Maana sijaelewaSimu refub inategemea unanunua wapi. Kama ukinunua kwenye mtandao wa Apple kuwa na hakika kuwa utapata simu bora sawa na mpya na haitakuwa na shida yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app