Simtaki ila namtaka

Simtaki ila namtaka

QUEENBM

Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
70
Reaction score
25
Habari zenu wana jamii

Nimekuwa na kijana mmoja tumekuwa na mauhusiano kwa mwaka mmoja ila tukaachana kutokana na mwenzangu kuonekana anampenda ex wake zaid yangu.Wakati tupo katika mahusiano nkagundua bado anachat na ex wake na ex akimstress hasira zote ni kwangu.Kiukweli iliniuma sana na ilibid tuachane tu niokoe nafsi yangu.kuachana kuliniuma sana maana nilimpenda sana.kwakweli maisha nliona machungu.nilikonda sana stress sana hata kazi nikaacha.
Kinachoniumiza ni huyu mwanaume kutwa haachi kunitafuta nikitulia ananifata na kuappologise.Mm nimemsamehe japo bado kiukweli nina uchungu sana kwa magumu aliyonifanyia na kuniona sina maana.but shida yangu ni kuwa sitaki mawasiliano nae wala ukaribu nae maana nkiwasiliana nae najiskia kumpenda tu na ninatamani kurudiana nae ila yy hayupo tayar kurudiana nami anataka urafiki wa kawaida na mm siwezi.je wanadau nakosea kutaka kukata mawasiliano nae??
Saiz anakuja niwe karibu nae tena coz nimesikia mambo sio mazuri kwake na huyo mpnz wake.kiukweli icho kitendo mi kinantia hasira sana na kufanya nizidi kumchukia maana naona anaiona kama second option..nimfanye nn anitoke for good??staki mawasiliano nae wala ukaribu nae ili ni move on.
 
Utakuwa uko kwenye 20's tena mwanzoni kabisa na ndio maana unajichanganya namna hii....

Mara nyingi nyie mnaoomba ushauri huwa mnakuwa mmeshaamua la kufanya na hapa mnakuja kucomfirm tu ili watu wawasaport....

Mtu hataki mahusiano na wewe unang'ang'ania nini?

Kaazi kweli kweli....
 
Cha msingi ni wewe kujiamini na kusimamia kile unachokiamini...kama wewe hauna shida nae, ila unampenda basi kubalian na hali halisi kwamba unampenda ila sio rizik yako so you have to move on......

Tambua pia urafiki wa karibu na ex unaempenda ni rahis mno kurudiana nae, na unaeza rudiana nae then akarudia tabia yake ya awali so be aware usikubali mazoea wala urafik usiokuwa na maana nae...
 
Hahahahah! Una maamuzi mazuri, don't ever let someone to disrupt your soul kwa kukuweka 2 option. Njia nzuri ni kama kweli haumtaki kbsaaaaa, delete his phone number completely and have your new phone number. Mapenzi ni bond ambayo huwezi ku delete abruptly, njia ingine ni ku-mblock completely. Lastly, hata kama ukiwa na number mpya then akaipata ni ku-mblock na akikupigia tuu u ask him who are you? Don't b weak to such an extent.
 
daah ndio hivyo mzee tunakazi kubwa mno kuwasaidia vijana hawa wa early 20
 
Akipiga simu huwa anakushikia kpokeleo, au akituma sms anakushika mkono ujibu?

Lowasa anatosha kuleta mabadiriko. Mpe kura yako!!
 
Chukua simu yako m - block kuanzia sasa na akijaribu kukutafuta mkwepe kabisaaaa
 
Utakuwa uko kwenye 20's tena mwanzoni kabisa na ndio maana unajichanganya namna hii....

Mara nyingi nyie mnaoomba ushauri huwa mnakuwa mmeshaamua la kufanya na hapa mnakuja kucomfirm tu ili watu wawasaport....

Mtu hataki mahusiano na wewe unang'ang'ania nini?

Kaazi kweli kweli....

Maamuzi yangu ni ku move on japo bado nampenda sana bt i have decided to move on.Shida ni kuwa sitaki disturbance zake..huyu mtu naishi nae mtaa mmoja daily I see him. Kumbuka nampenda namuona na binti wengne navumilia...
 
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu
 
Hahahahah! Una maamuzi mazuri, don't ever let someone to disrupt your soul kwa kukuweka 2 option. Njia nzuri ni kama kweli haumtaki kbsaaaaa, delete his phone number completely and have your new phone number. Mapenzi ni bond ambayo huwezi ku delete abruptly, njia ingine ni ku-mblock completely. Lastly, hata kama ukiwa na number mpya then akaipata ni ku-mblock na akikupigia tuu u ask him who are you? Don't b weak to such an extent.

Asante mdau.ni maamuz mazuri ila magumu sana.navumilia sana.kinachonikera nikishamsahau na kumtoa akilin ndo anarudi tena kuwasiliana na mm inakuwa kama ananitonesha vidonda.sijui katumwa
 
Akipiga simu huwa anakushikia kpokeleo, au akituma sms anakushika mkono ujibu?

Lowasa anatosha kuleta mabadiriko. Mpe kura yako!!

Katika swala la kutopokea simu zake ndo nashindwa..najikuta napokea tena kwa hasira namshushua alaf badae zinayeyeuka..si unajua mapenzi..bt wat I knw z deep down in ma heart wana delete this dude in ma life...shida ni vile namuonaga sana tupo sehem moja mtaani..
 
Cha msingi ni wewe kujiamini na kusimamia kile unachokiamini...kama wewe hauna shida nae, ila unampenda basi kubalian na hali halisi kwamba unampenda ila sio rizik yako so you have to move on......

Tambua pia urafiki wa karibu na ex unaempenda ni rahis mno kurudiana nae, na unaeza rudiana nae then akarudia tabia yake ya awali so be aware usikubali mazoea wala urafik usiokuwa na maana nae...

Asante sana.na mim nimeona hilo ndo mana I want to stay far away from him..
 
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu

Aiseee kumbe atoto njoo harakaa
 
Last edited by a moderator:

Aiseeeeee!!

Aiseee kumbe atoto njoo harakaa

Yaani namuona mzee wa fursa, hachezi mbali.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mimi huwa sipendi au?? Hii kitu inakuwaje, mbona kama sielewi elewi!!!
 
Back
Top Bottom