ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,282
- 541
dunia ya sasa imebadilika sana, toka nikiwa mdogo mama yangu alikua akinifundisha na kunihusia nijitunze nisikubali kulala na mwanaume yeyote hadi yule ambae atanioa,kwani kwa kufanya hivyo,itanipa heshima na kwa mama yangu pia. mama yangu amekua akinipa shuhuda mbalimbali za maisha yake aliyopitia,yakwamba,hakuwah kutembea na mwanaume yeyote zaidi ya baba yangu,nahiyo ilimfanya baba yangu ampende na kumwamini zaidi,na mimi ni shuhuda wa hilo.
kutokana na hilo nilitaman niwe kama mama yangu.
mimi nipo tayari kukuchumbia, na nitavumilia kwa kipindi chote hicho mpk tuingine ndani ya ndoa. ni pm tuanze mawasiliano. note: uwe unamvuto tafadhali.:yield: