simshauri dada yeyote kutunza bikra hadi ndoa.

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21
dunia ya sasa imebadilika sana, toka nikiwa mdogo mama yangu alikua akinifundisha na kunihusia nijitunze nisikubali kulala na mwanaume yeyote hadi yule ambae atanioa,kwani kwa kufanya hivyo,itanipa heshima na kwa mama yangu pia. mama yangu amekua akinipa shuhuda mbalimbali za maisha yake aliyopitia,yakwamba,hakuwah kutembea na mwanaume yeyote zaidi ya baba yangu,nahiyo ilimfanya baba yangu ampende na kumwamini zaidi,na mimi ni shuhuda wa hilo.
kutokana na hilo nilitaman niwe kama mama yangu.
 
na niliweka nadhiri kwamba namimi nitajitunza hivyo kama yeye.kilichonifanya niandike uzi huu, nikwamba sasa ninaumri wa miaka27 , kila mchumba ninaempata anataka alale na mimi kwanza,na mimi nimeshajiwekea malengo yangu ctaruhusu hilo litokee,najuta kwanini nimejitunza
hadi umri huu,hakika sioni faida ya kuwa bikra.
 
Kama unaona ushauri huo haufai, kwa nini wewe huvunji hiyo kanuni uliyojiwekea?
 
pole kila mambo na nyakati zake, unaweza kuwa sista tu ukamtumika mungu, itakuwa vema sana
 
na niliweka nadhiri kwamba namimi nitajitunza hivyo kama yeye.kilichonifanya niandike uzi huu, nikwamba sasa ninaumri wa miaka27 , kila mchumba ninaempata anataka alale na mimi kwanza,na mimi nimeshajiwekea malengo yangu ctaruhusu hilo litokee,najuta kwanini nimejitunza
hadi umri huu,hakika sioni faida ya kuwa bikra.

dont be like that mdada mzuri,hicho ni kitu kizuri hao hawakua waoaji na wasikufanye ujisikie vbaya zidi kusubiri atakuja aliye wako na wala hutajuta kujitunza kiasi hiko,hongerah!
 
Nakupa offer ya kukusaidia tatizo lako hilo, niko tayari kukusaidia kwa gharama ndogo sana sana....usining'ate tui
 
Binafsi nikikuta mwanamke kabeba bikra hadi miaka 18 namzaba makofi naishia zangu...nani ahangaike kutoa bikra za watu wazima tuambukizane zinaa??? Vijana wetu watajifunzia wapi??? hiyo ndio urithi pekee tuliowaachia vijana wetu kutusafishia njia ..ALA!!
 
dunia ya sasa imebadilika sana, toka nikiwa mdogo mama yangu alikua akinifundisha na kunihusia nijitunze nisikubali kulala na mwanaume yeyote hadi yule ambae atanioa,kwani kwa kufanya hivyo,itanipa heshima na kwa mama yangu pia. mama yangu amekua akinipa shuhuda mbalimbali za maisha yake aliyopitia,yakwamba,hakuwah kutembea na mwanaume yeyote zaidi ya baba yangu,nahiyo ilimfanya baba yangu ampende na kumwamini zaidi,na mimi ni shuhuda wa hilo.
kutokana na hilo nilitaman niwe kama mama yangu.
Heshima kwako Upefuzu (umepasi) good youngirl.
 
na niliweka nadhiri kwamba namimi nitajitunza hivyo kama yeye.kilichonifanya niandike uzi huu, nikwamba sasa ninaumri wa miaka27 , kila mchumba ninaempata anataka alale na mimi kwanza,na mimi nimeshajiwekea malengo yangu ctaruhusu hilo litokee,najuta kwanini nimejitunza
hadi umri huu,hakika sioni faida ya kuwa bikra.

Una maoni gani juu ya wale wadada wenye umri kukuzidi wasio na bikira na hawajaolewa?

Kwamba kila mtu lazima auo au kuolewa, kwangu hiyo ni dhana isiyo na ukweli wowote.
 
Usikate tamaa wa kwako anakuja,hao wote walopita hawakuwa wako,usijaribu kulazimisha ubavu ambao siyo wako madhara yake ni makubwa sana,usikate tamaa na wala usijute hata kidogo endelea kuvumilia utafurahia matunda yako siku moja.Kumbuka tu Mungu atakupa wa kufanana nawe ukichoka njian atakupa naye wa kuja kuchoka njian,maisha haya hayana guarantee kwmb ukionja ndo utaolewa,utaonjwa vizur na kuolewa usiolewe au ukaolewa ndoa ikawa ni jehanamu.
 
na niliweka nadhiri kwamba namimi nitajitunza hivyo kama yeye.kilichonifanya niandike uzi huu, nikwamba sasa ninaumri wa miaka27 , kila mchumba ninaempata anataka alale na mimi kwanza,na mimi nimeshajiwekea malengo yangu ctaruhusu hilo litokee,najuta kwanini nimejitunza
hadi umri huu,hakika sioni faida ya kuwa bikra.
tunza iwe mbao mama bora mie ambaye sikuzaliwa nayo so sina historia na hakuna wakujisifia alinibikiri !!
 
Binafsi nikikuta mwanamke kabeba bikra hadi miaka 18 namzaba makofi naishia zangu...nani ahangaike kutoa bikra za watu wazima tuambukizane zinaa??? Vijana wetu watajifunzia wapi??? hiyo ndio urithi pekee tuliowaachia vijana wetu kutusafishia njia ..ALA!!

Safiiiiiiiii..... Nan anataka habar za kutoana jasho na kuvunja kitanda
 
Hapa ninachoona bi mkubwa ni kuwa unatafuta tu wa kuinyofoa hiyo bikira hizi nyimbo nyingine ni kunogesha tu story....

Nashawishika kuandika hivyo kwa kuwa waonekana sasa u tayari kutolewa usichana wako kwani sababu yako binafsi naiona haina mashiko, eti kisa ni usumbufu uupatao kwa kuwa tu umejitunza...

Kama sio hivyo pia nashawishika kuamni kuwa pengine usingelikuwa ni bikira basi ungelikuwa waigawa kama pipi ya kijiti hiyo mbunye yako...

Ushauri:
Endelea kujitunza kama ni kudinyana utadinyana tani yako ukiolewa...wenzako walioanza kudinyana wanajuta kwa usichana wao kuupoteza kwa watu ambao mwisho wa siku hata hawakuwa waume zao bali walikuwa ni majambazi waioumiza mioyo yao!!!
 
Wapenda Ngono sana, Waasherati, Wazinzi, Malaya n.k wanapenda watoe Bikra au Watolewe kabla ya Kuolewa. Ngono inaruhusiwa kwa wale walio ndani ya Ndoa tu. Tunza mwili wako kadri uwezavyo. Mbona watu wa zamani waliweza, kumbuka hata Bikira Maria. Ngono kabla ya wakati ni DHAMBI.
 
dunia ya sasa imebadilika sana, toka nikiwa mdogo mama yangu alikua akinifundisha na kunihusia nijitunze nisikubali kulala na mwanaume yeyote hadi yule ambae atanioa,kwani kwa kufanya hivyo,itanipa heshima na kwa mama yangu pia. mama yangu amekua akinipa shuhuda mbalimbali za maisha yake aliyopitia,yakwamba,hakuwah kutembea na mwanaume yeyote zaidi ya baba yangu,nahiyo ilimfanya baba yangu ampende na kumwamini zaidi,na mimi ni shuhuda wa hilo.
kutokana na hilo nilitaman niwe kama mama yangu.

Kwanza karibu sana JF........
Hongera sana kwa kujitunza, lakini kwa ni unawapotosha wenzako?
 
hao sio potential buyers...wait for the potential one
na niliweka nadhiri kwamba namimi nitajitunza hivyo kama yeye.kilichonifanya niandike uzi huu, nikwamba sasa ninaumri wa miaka27 , kila mchumba ninaempata anataka alale na mimi kwanza,na mimi nimeshajiwekea malengo yangu ctaruhusu hilo litokee,najuta kwanini nimejitunza
hadi umri huu,hakika sioni faida ya kuwa bikra.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom