Simplicity nimerudi

Status
Not open for further replies.

Twembie umepigwa ban ya nini?au ndio nyinyi mnakuja na uzi hauna kichwa wala miguu?
 
Last edited by a moderator:
Hebu rudia tena zile stori zako espeshale ile ya madada wa Kimara...
 
Sijawahi kubadili ID yangu, ndio maana nimepigania kuiregain. Kuna tu mod mmoja aliamka asubuhi baada ya kutifuana na mke wake, na kuja kuichanganya ID yangu na ya mtu mwingine.
Aaaah kwanini walifanya hivyo unajua hata watumiapo hizo ip address si sawa kwani computer moja mnaweza kutumia watu wengi tu kwa mfano internate cafe n.k sasa kama walifanya hivyo hiyo haiko sawa au sijui wanatumia nini kuscreen .
 
Reactions: BAK
Amini tu, shule yako imeisha?

Mkuu bado sijakuamini,

unakumbuka enzi umepost kwamba utakuwa morogoro sijui benki ya NMB? mbona inaonekana umebadili ID bhana?

hebu acha kutuzingua!



unakumbuka hapa ulikuja kutueleza kuwa umekutana na wadada wa JF? naikumbuka sana ID ya simplicity,

By that time nilikuwa msomaji tu kwa sababu nilikuwa bado niko sekondari..

ona hii..



Unakumbuka na hii uliyokuwa ukilalamika kuwa umepata sapu due to being jf addict?

mkuu, ongea na moderator akurudishie ID yako ya zamani, otherwise, ulikuwa na ID nyingine ambayo ilikuwa merged.
 
Last edited by a moderator:
Excel nilichochukia mimi ni mods kunichanganya na ID nisiyoijua, wazembe kweli. I'm far better over internet communications than them. Nina hasira nao, ngoja mod mwingine naye aje kuleta ujinga wake, nitafungua blog na kuwapiga picha za uchi wake zao na kuwapublish. Nawafahamu kwa sura na majina.
 
Last edited by a moderator:
We jamaa si mzima. Excel asante kwa rejea nzuri
 
Last edited by a moderator:

Ahaaaa we mtu kweli kiboko! Ahsante kwa kurudi!
 
Last edited by a moderator:
.....nikikumbuka story zako za posta huwa nacheka sana karibu tena!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…