Kwahiyo ukirudi unaregister upya manake naona hapo join date ni tofauti na ya mwanzo.Hii ilikuwa exceptional dada yangu
unajua ni ngumu kukuamini!!Ni uhuni wa mods tu ndio ulichanganya id yangu na ya huyo JF2050, wanajifanya wajuvi wa technolojia mpaka kuona mimi na huyo JF2050 ni mtu mmoja. Ni uhuni tu walifanya hakuna lolote.
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .kwanini ikutokee wewe tu kwani ulifanya nn?na mbona Simplicity. orijino alibadili ID akajiita JF2050 nasema hivo kwasababu yupo kwenye listi ya marafiki zangu!!Wewe sio Simplicity. orijino sema umechukua ID yake baada ya yeye mwenyewe kuibadili!!
Dada Simplicity. orijino mie ninae kwenye list ya marafiki zangu na kabadili ID na hajakuwa BANNED wala nini,huo ndio ukweli!Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .
unajua ni ngumu kukuamini!!
mtume mbona umeshushwa tena kutoka junior member mpaka member teh.....mi naona kizungumkuti...nah i need more proof than that ili nikuamini,bado sikuamini....Amini tu, shule yako imeisha?
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .
mtume mbona umeshushwa tena kutoka junior member mpaka member teh.....mi naona kizungumkuti...nah i need more proof than that ili nikuamini,bado sikuamini....
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .
Hii ndo jf ndo mana nilihis hapa kuna kitu
Kwann yeye awe chin ya uangalizi
Ni vigumu kuunganisha ID
Ana id mbili huyu
Ni wewe mkuu yule yule wa zamani au umeibiwa logins?
Hahahahahahahaaaaa!
Mwanampotevu umerudi tena??!!!
Ok! Hope u a fine!
Tena zile swaga zako za kimagumashi usiziache!
usiwe na wasiwasi hii haiwezi kukutokea wewe wala member mwingine, isipokuwa mimi tu. Nipo chini ya uangalizi mkali, hata verification ya account yangu ilichukua kama wiki nzima hivi, Pia posts zangu zote mpaka moderators waziverify ndio uzione, they take sometime, what a privilege!