Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
mbona umekuwa junior memba tena?mmmhhhh :thinking::A S 39:
Eti ehh nilikuwa sijui....I wonder
Labda ukirudi ban unapewa daraja LA chini
karibu sana mkuu, nakukumbuka sana na thread zako... mojawapo ni ile ya majina zaidi ya 1000 ya whatsapp! duh!Ndugu wana MMU,
Natumaini wote ni wazima kabisa wa afya njema. Sijakwepo hapa kwa muda wa kama mwaka hivi, lakini ni matumaini yangu kuwa mijadala inaendelea vizuri.
My Account wa seriously compromised (something like 12 months ban, hii ni sawa na kuwa Guantanamo kwa muda usiojulikana), but thanks God I've gained my originality.
Naomba waungwana mnipe summary ya kinachoendelea humu, what is actually trending?
lara 1, Kaunga, MadameX, madameB, madame A, charminglady, charminggirl, Cynthia Chriss, Mimi49 na Heaven on Earth, etc., (Dada yangu Ablessed), Himidini, .....
Bila shaka kutakuwa na members wapya, na hata labda kuna wa zamani waliokufa - Nawatakia safari njema za kwenda akhera au motoni.
Simplicity.
mbona umekuwa junior memba tena?mmmhhhh :thinking::A S 39:
karibu sana mkuu, nakukumbuka sana na thread zako... mojawapo ni ile ya majina zaidi ya 1000 ya whatsapp! duh!
ila nashindwa kuelewa! Is this you really au ni scam? BAN haijaisha? kwanini umeingia na account mpya?
hata kama ni BAN, Simplicity halisi ndo huyo! si Simplicity. wewe!
THIBITISHA KUWA UMESAHAU NENO LA SIRI...! lol
smh!
ndio wewe ulikua wasumbuliwa sana SUP, mwaka jana!??
Ulikosea nin MODS.
Hivi kuna ban ya mwaka mzimaI wonder
Labda ukirudi ban unapewa daraja LA chini
Hivi kuna ban ya mwaka mzima
kwanini ikutokee wewe tu kwani ulifanya nn?na mbona Simplicity. orijino alibadili ID akajiita JF2050 nasema hivo kwasababu yupo kwenye listi ya marafiki zangu!!Wewe sio Simplicity. orijino sema umechukua ID yake baada ya yeye mwenyewe kuibadili!!usiwe na wasiwasi hii haiwezi kukutokea wewe wala member mwingine, isipokuwa mimi tu. Nipo chini ya uangalizi mkali, hata verification ya account yangu ilichukua kama wiki nzima hivi, Pia posts zangu zote mpaka moderators waziverify ndio uzione, they take sometime, what a privilege!
Hivi kuna ban ya mwaka mzima
kwanini ikutokee wewe tu kwani ulifanya nn?na mbona Simplicity. orijino alibadili ID akajiita JF2050 nasema hivo kwasababu yupo kwenye listi ya marafiki zangu!!Wewe sio Simplicity. orijino sema umechukua ID yake baada ya yeye mwenyewe kuibadili!!
Makubwa haya tumezoea ban 3 days ,2 weeks , forever hutoonekana TNA
ila ya huyu anasema ni unique yupo chini ya uangaliz wa moderator kwa kila afanyalo