simple way ya kuchat na mtu instargram

simple way ya kuchat na mtu instargram

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
najua kuna watu wengi ambao wanatumia instagram na wamekuwa wakitamani kuwa friends na baadhi ya wa2 alewafollow but eg man kamfollow demu mkali but hajui ze way atakavoweza chat nae or kuwa friend wake na wengine wanaweka comments kama izi"nchek watsap 075467......." na hawafanikiwi so labda kwa njia hii itakuwa mzuka but hili ni wazo langu na nimefanya ivo na kufanikiwa. :;
1.download pic Kali ya uyo demu o take a screen shot
2.ingiza iyo pic instargram na uchague option ya direct na sio kwa followers
3.mchague yy 2 kwa kuandka jna lake kwenye"search"
4.ukishafanikiwa kusend pic direct kwa yy 2,fanya kucomment kwa kumsifia lyk"u a cute"
5.na yy akicomment 2 na ww unaliendeleza bas utamalza ata #atakupa ka mkichat kwa time ndefu na akikujua zaidi
NB:not applied 2 celebrities
haya ni mawazo yangu tu
 
Mie nisaidie namna ya kudownload picha insta..natumia WP
 
mi play store yangu haifanyi kazi..
 
Back
Top Bottom