kiukweli me nilikuwa sijui hiyo njia. kuna serial nyingi za prog nazihitaji. mfano mavis beacon.
Shukrani sana
Thanks mdau kwa kweli mimi mwenyewe nilikuwa siijui
Hii ni noma,ni kwa software yeyote?
Yes kiongozi, kwa software yoyote
Kuna site inaitwa smartserials.com we unasearch tu serial unayotaka, it work 100%