Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Alafu we jamaa uwe unajaribu kuelewa swali kabla ya kujibu.Ni special kutoka nje
Nilikuuliza raba zimetengenezwa kwa material gani, dhamira yangu ni kujua ni za kitambaa au ngozi au pengine ni ile ngozi laini. Sasa majibu unasema hizi ni special
Sasa special ndio material gani?
Nafahamu sio mtumba maana yake ni special je zimetengenezwa kwa material gani (malighafi gani ilitumika kutengeneza hizo raba?).
Kama hujanielewa basi mkuu