- Thread starter
- #21
Original specialElfu tano hizo ni feki au origino?
Original specialElfu tano hizo ni feki au origino?
Mzigo mmoja huoUmeweka Picha 3 tofauti lakini za zote za Raba hiyo hiyo moja,
Je unamaanisha mzigo mmoja wa pair 20 unakua na raba Zinazofanana?
Ndo iliyopoMbona umeweka sample moja tuu...!?
Kwa hiyo mtu akilipia 100,000/= atapewa pairs 20 zote za aina hiyo hiyo??Ndo iliyopo
Mkoani natuma,ningependelea kuuza zaidi ya piece 20 ila kama unahitaji chini ya hapo ntafikiria kuhusu hilo waweza nicheki pmMkuu hakuna za rangi tofauti na je kama mtu anataka piace 10 kwa mtaji wa kuanzia unaweza kumpa kwa bei hiyo hiyo, mwisho je mkoani unatuma mzigo
Ndyo shark karb, tunaponunua huwa ziko jumla rangi moja,ukitaka mchanganyiko inabd ununue pack nyingineKwa hiyo mtu akilipia 100,000/= atapewa pairs 20 zote za aina hiyo hiyo??
vaa mwenyewe basiSiuzi reja reja
Poavaa mwenyewe basi
Ni special kutoka njenatamani nijue material yake tuu!!!
Ninazo navaa ni mwezi wa saba navaa haioneshi hata dalili ya kupasuka,ni originalHizo boom,,soli zinapasuka kama mahindi ya bisi
Tuma picha ya hivyo viatu unavyotumiaNinazo navaa ni mwezi wa saba navaa haioneshi hata dalili ya kupasuka,ni original

Hebu jaribu kuelewa swaliNi special kutoka nje
Si kweli usipotoshe hizo ni Ronya toka china k/koo hakuna mfanya biashara anaechukua mzigo original boss ili wapige superprofit pengine labda wewe ni mgeni wa ile k/koo alafu vans original ikiletwa bongo watakaoweza afford ni wachache na wenye uelewa tu na ndo maana wanaamua kuchukua hizo ronya toke china,hivo basi labda pengine haufahamu au umeamua kudanganya wateja wako kumbuka pia itakuwa unapoteza moja ya kitu muhimu credibility kwa mteja kuwa muwazi mteja achague kitu kulingana na pesa yake.Kila la kheriNinazo navaa ni mwezi wa saba navaa haioneshi hata dalili ya kupasuka,ni original
Tuma picha tofauti za hicho kiatu kilichovaliwa kwa miezi saba.Ninazo navaa ni mwezi wa saba navaa haioneshi hata dalili ya kupasuka,ni original