Simple ghorofa... Cost hadi 80million tz shs. 3 bedrooms...

Simple ghorofa... Cost hadi 80million tz shs. 3 bedrooms...

Kwahiyo unashauri watu wasitumie wakandarasi! Waswahili bana kwa kupenda kurahisisha mambo! Mi nadhani wewe hata ukienda hospital utataka ujitibu kupunguza gharama

Wewe ni mwingereza?Unababaika na jina mkandarasi wakati yeye ni mtu mwenye vyeti kazi zinafanywa na fundi mzoefu.
Tafuta mkandarasi muoneshe ramani ya rumu moja na sebule simple kama hutasikia milion 40.
Ujinga nao ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom