Simple ghorofa... Cost hadi 80million tz shs. 3 bedrooms...

Bliga

Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
18
Reaction score
5
1.0104.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho nimejifunza ktk ujenzi baada ya kupata uzoefu ukisimamia ujenzi mwenyewe utastaajabu gharama za wakandarasi.

Ukitaka kujenga nunua ramani halafu tafuta Yule fundi aliyebobea anayeaminiwa na mkandarasi mpatane kwa vipande anavyoweza yeye,material nunua mwenyewe na ujipe muda kukaa site.
Haki ya mungu 80m unajenga ghorofa ya maana
 
Kwahiyo unashauri watu wasitumie wakandarasi! Waswahili bana kwa kupenda kurahisisha mambo! Mi nadhani wewe hata ukienda hospital utataka ujitibu kupunguza gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom