Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

Ukweli mchungu ni kwamba wananchi bado wanaiunga mkono CCM na bila kupepesa macho nakuhakikishia CCM ikisambaratika leo basi ujue hatuNa chama chochote kitakachoweza kuongoza Nchi hii. Na usiombee hilo litokee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wanahitaji mabadiliko Na mbaya zaidi bado hayajapatikana.kilio hiki kitaendelea
 
Si majority ya watanzania wanaotaka kuturudisha mfumo wa chama kimoja, ni ka kikundi ka watu kama 15 tu hivi wenye mamlaka ndiyo wanataka hili yafanyike, wanachi wamechoka na mbaya zaidi hawana pa kusemea!!
 
Kakistocracy at work! Mwambie awe anaweka akiba ya maneno! Taharuki aliyoizusha kwa wageni ukumbini haikuwa ndogo na hawakuipuuza hasa ukizingatia ana ban ya kutoikanyaga US!
Alichokiongea kimekubalika na aliyemteua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…