mahusiano mi nikamwambia mwanaume mimi siwezi kuwa na mwanaume mwenye tabia km yako naomba nikaendelee na maisha yng hapo akakili kosa akampigia yule dada akambia waachane yale dada akuguma nika msamehe tukaendelea na maisha akaanza tena kazi mdada
alivyoanza kz vikaanza visa ugomvi usio na sbb simu akaweka pswd siku moja nikakuta sms kwenye simu yke za mwanamke mwingine za mapenzi niliumia sn lkn ajabu hakuwa karibi yng kunibeleza wala hakuonyesha kujali sana alipokuwa akiniona nalia yy anache
rudi juu mama. edit mada yako, weka hizi pamoja. watu hawakuelewi!anicheka hakuonyesha kujuta nakumbuka akaniuliza kwa kejeli sasa unamlilia nani hapa nliumia nilitamani kufa mpenzi nliyempenda na kumuani leo anionei huruma nikampigia yule mwanamke yule dada akanijibu mbona huyo mwanaume wko ameniambia hana
hahahaha she is coming
tumbembelezeje...>???
Hii nchi imejaa migomo...sasa Grace Komba naye kagoma kuimalizia hadith yake...
Simuamini wala simpendi tena mwanaume wangu nimekuwa nae katika mahusiano huu mwaka wa3 sasa aliniomba anioe nikamkubalia.
Tatizo likawa upande wa dini kwakuwa nilimpenda sana sikuona tatizo kuwa Muislamu hata kama wazazi wasingependa baada ya makubaliano haya.
Ushauri tafadhali