Grace Komba
Senior Member
- May 26, 2013
- 131
- 48
umebadilisha dini au?
hapana baada ya makubaliano hayo akanipeleka kwa wazazi wake kunitambulisha nashukuru walinipokea vizuri maisha yakaendelea kipindi hicho alikuwa hana kazi baada ya km mwaka akaja akapata kazi
hapana baada ya makubaliano hayo akanipeleka kwa wazazi wake kunitambulisha nashukuru walinipokea vizuri maisha yakaendelea kipindi hicho alikuwa hana kazi baada ya km mwaka akaja akapata kazi
Moderator tunaomba utuunganishie hizi post watu tuweze toa ushaurianicheka hakuonyesha kujuta nakumbuka akaniuliza kwa kejeli sasa unamlilia nani hapa nliumia nilitamani kufa mpenzi nliyempenda na kumuani leo anionei huruma nikampigia yule mwanamke yule dada akanijibu mbona huyo mwanaume wko ameniambia hana
Kwa Nini hivi... ???
Mkuu umemaliza kwa jinsi alivyoelezea tu stori yake "kipande" nimemuelewa anampenda sana jamaa hadi ikafika hatua ya kuona dini sio kikwazo na hata akawa kiziwi kwa maneno ya wazazi !!The thing about moyo ni kuwa 'moyo ni kigeugeu '
unaweza siku moja kuamka na kugundua huyo ndo
'love of your life' by then keshao na kukusahau