Simpendi hata kidogo

Anakupenda sana, na wewe ungekuwa unampenda wala usingesema anakucontrol, ungetii kila anachokuambia. Muache kaka wa watu ampende anayestahili
 
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:




Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?

Umefanya uchunguzi mzuri mkuu... digital generation is a curse....
 
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:




Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?




Hehhehhehhhehe unajiona mjanja, KWA RAHa ZANGU
 
Maisha ya cumpus huwa yanawazuzua sana mabinti wengi.we maliza shule urudi kitaa uone jinsi utakavoanza kushobokea hadi wasukuma mikokoteni.

ah! ah! ah! asante mzee mwenzangu kwa kunivunja mbavu nimechekaje. Mi nimesita kutoa ushauri nikajua niwale wale vicheche wa kule UWANJA WA FISI kazi yao kupenda pochi.
 
ah! ah! ah! asante mzee mwenzangu kwa kunivunja mbavu nimechekaje. Mi nimesita kutoa ushauri nikajua niwale wale vicheche wa kule UWANJA WA FISI kazi yao kupenda pochi.



Tatizo elimu ya bongo, mnakariri sana
 
"Kisikia kwa Kenge mpaka atoke damu puanI"
 
Not everything has to start up a Thread.
Pole yake huyo jamaa kashindwa kujua thamani yake.
 
Not everything has to start up a Thread.
Pole yake huyo jamaa kashindwa kujua thamani yake.



Hehehe Jf haina formula, kama vp vice versa is true na ww sio kila kitu lazma. Ukoment
 
..This is purely Comedian life.... playing with feelings za mwanaume....UNAKULA FEDHA na VITU VYAKE HUKU UKIJUA HUMPENDI FOR YEARS....

....UTAKUJA KUFA UNAJIONA HIVI HIVI....na hivi unajisikiaje kutumia fedha na vitu vyake then unasema hataki aku control...??

...I hate women of ur type... na NGOJA UMALIZE SCHOOL....NAKUHAKIKISHIA UTAWEKA HATA PICHA ZA UCHI FB STILL UTAUZA HADI CORNER BAR.....mbunye itazeeka na HUTAOLEWA MWANAMKE WW....
....Na kama humpendi acha fedha na vitu vyake haraka na kata mawasiliano nae.....

....LIFE IS ONCE AND OVER... it seems ww kichwani ZERO TOO....a woman mwenye uelewa huwa yupo specific on many issues including MAPENZI....I AM SURE...unaandika tu hapa LAITI WATU WANGEKUONA LABDA NI MCHAFUUU WA MWILI NA TABIA...NA UNA SURA MBAYA huvutiii... mwanamke mzurii..mrembo..mwenye tabia njema hawezi KUANDIKA UPUUZI HUU.... mbele wala nyuma huchezi, trust me..

....Just go on kulaaa, kunywaa na kufuja vitu vyake...unajijengea kaburi ww.... devil woman...eti anakufanyia kila kitu ... ur a dead walking woman..ghost I hope...acha ushamba... hawa F4 failure u fail in everything...damn...!!!!

 
CnaJina unaonaje kuacha kujibizana...
Just for the sake of your reputation...! Naona matusi yanazidi.



Eli skia jus cz mtu ameweka thread na wao wako nyuma ya skriin they think they havea right to talk trash they want,, watu wa humu ndani hawana limit kabisa, hakuna anaenijua lkn wananiporomoshea matusi, an eye for an eye, I dnt care abt the damn reputation, atakaenitukana na mm najibu mashambulizi kwake yy na ukoo wake mzima!
 
Last edited by a moderator:
Dah!tulia tu kwani kama humpendi sio lazima kua nae na pia sio lazma umtangaze cha msingi acha kupokea vitu vyake na epuka marafiki mcharuko kwani chuo ni kipindi cha mpito ambacho wengi hujutia wanapomaliza baada ya kushindwa kutimiza malengo,soma kwanza kwani kilichokupeleka hapo sio mwanaume ni elimu,wanaume wapo kwa muda wake,muombe Mungu sana kwani una wakati mgumu mno sidhani kama kutukana au kujibizana utakua umetatua tatizo,kumbuka umekula vya watu na huyo humjui anaweza kufanya kitu mwisho wa siku ukajutia,ni hayo tu,minalfaidhina
 

mr president taratibu utamfanya huyu kicheche atafte kitanzi.
 

Mr President shkamooo umesomeka mkuu ushauri wako utafanyiwa kazi


Jus 1 point of correction sijawahi kugawa k yangu so I thnk I've nothing to loose,,,eid mubaraQ
 
Subiri ukishafika miaka 26 kilometer zikifika laki moja na ushee utaanza kumtafuta! Kwa sasa tumia tu usichana wako tu jirushe kula bata sana enjoy.
 
Inawezekana kule kukupenda kupitiliza ndio kulikoua upendo wako, ikifika naye amechoka, itakuwa kinyume chake kwako.
 
suit maself?... ha ha ha ha! ww subir nifungue gesti yangu nkuajir uwe mhudum mkuu!
 
Ha ha ha naona unaonesha true colours wewe ni mwanamke wa namna gani! Mtu akitukana si lazima umjibu kwa matusi mkuu, watu wengi wamekerwa na ujasiriamali unaomfanyia jamaa huku ukitegemewa wewe ndo msomi uje uwe mfano bora kwenye jamii baada ya graduation. Lakini sasa tunashindwa kukutofautisha na vicheche wengine wakitaa waliokimbia umande.
Unaweza kututajia japo jina la chuo unachosoma ili tuweze ku connect dots? Bila shaka haitakuwa ni Oxford university ya Tandale kwa mtogole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…