Simpangii Rais ila Angellah Kairuki is Unfit, Coward, Liar,Phony, deceiver anahitaji kupumzika

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.
 
Mkuu samahani sana lakini........

Source zote za matatizo ya mawaziri wa rais magufuli ......

Ni waziri wa fedha ambaye alikuja na sera mbovu za ukusanyaji mapato matokeo yake ni ku fail kwa money circulation na wizara zote kufail kujiendesha kwa budget iliyopangwa.......

Kwa Mpango kukubali kupokea maagizo toka juu ya mkemia Kuwa mkusanya kodi ndipo tatizo lilipoanzia......

Sio kwamba kairuki anafurahia situation hii au ndalichako alifurahia watoto zaidi ya 70% kukosa mikopo chuo no but.....

Hawana cha kufanya........

Tatizo sio kairuki tatizo ni mpanga budget aliyekubari unprofessional mkemia kuetekeleza hiyo budget.......
 
Mkuu samahani sana lakini........

Source zote za matatizo ya mawaziri wa rais magufuli ......

Ni waziri wa fedha ambaye alikuja na sera mbovu za ukusanyaji mapato matokeo yake ni ku fail kwa money suculation na wizara zote kufail kujiendesha kwa budget iliyopangwa.......

"Ukiona jamaa yako anatabasamu wakati mambo yanaenda vibaya, ujue keshapata mtu wa kumlaumu"
 
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, wao wanafedha za kutosha hivyo hawaoni sababu ya kuwakumbuka watumishi.
 
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.

Kwa jinsi Uongozi wa sasa unavyoenda Mkuu kumlaumu Mama Kairuki ni kutomtendea haki kwani hakuna asiyejua kuwa Tanzania ya sasa ni ya One Man show hivyo hata kama Mama Angela atashauri vipi bado tu Sauti ya mwisho ya Mbabe wa Kivita ndiyo itaamua kila kitu. Labda Wewe binafsi una chuki nae tu huyo Mama ila katika Uongozi wake kwa hali iliyopo sasa wala simlaumu.
 
Tunaacha kujadili tatizo, tunamjadili Mtu, TUNATAKA, tuone vijana wanaajiriwa walimu wetu na wafanyakazi wanafurahia kazi zao kwa kupata, mshahara kulingana na kupanda kwa maisha, Ukimsema Kairuk ataletwa mwingine afu Tatizo linabaki, Tujadili matatizo na sio watu.
 
Mkuu samahani sana lakini........

Source zote za matatizo ya mawaziri wa rais magufuli ......

Ni waziri wa fedha ambaye alikuja na sera mbovu za ukusanyaji mapato matokeo yake ni ku fail kwa money suculation na wizara zote kufail kujiendesha kwa budget iliyopangwa.......

Kwa Mpango kukubali kupokea maagizo toka juu ya mkemia Kuwa mkusanya kodi ndipo tatizo lilipoanzia......

Sio kwamba kairuki anafurahia situation hii au ndalichako alifurahia watoto zaidi ya 70% kukosa mikopo chuo no but.....

Hawana cha kufanya........

Tatizo sio kairuki tatizo ni mpanga budget aliyekubari unprofessional mkemia kuetekeleza hiyo budget.......

SORRY Mdau, suculation nini? unamaanisha Circulation
 
Wakuu huyu Dada taangu awe waziri matamko yake yameikua hayatimii hata moja

UHAKIKI WA VYETI FAKE
Ni kweli huyu mama aliitisha ukaguzi wa Vyeti kwa watumishi wa Serikali lakini hakuna hata Taarifa za Kusema hadi sasa wangapi wamebainika na hata Kuweka tuu Official document katika website ya Wizara hakuna mwisho tunasikia tuu wafanyakazi hewa sijui wamefikia 19,000 ndo yaleyale ya Meli 30 wakati zipo 16.

SUALA LA AJIRA ZIPATAZO 71,640
Huyu Waziri alitamka kwa Ulimi wake yeye mwenyewe mbele ya Bunge hapa alilidanganya Bunge kuwa Serikali itatoa ajira 71,640 ambazo hata hawajatoa hivyo kuzidisha mashaka zaidi kuwa amekabidhiwa Madara ambayo hayawezi.

SUALA LA AJIRA ZA WALIIMU WA SANAA
Taangu Jakaya Mrisho Kikwete aondoke madarakani hakuna waalimu ambao wameajiliwa na Si Kweli kuwa Idadi ya waalimu wa Sanaa ni Kubwa sana hizi ni Assumption ambazo hazijafanyiwa utafiti dhabiti na tusishangae hawa waalimu wa Masomo haya wakaadimika miaka ijayo.

SUALA LA WALIMU WA SAYANSI
Waziri alisema wajaze watume Vyeti wahitimu wote waliohitimu Ualimu wa Science Na hisabati walifanya hivyo hadi juzi walipotoa tangazo jingine tena watu watume taarifa zao.

SUALA LA KUPANDA MADARAJA
Leo amethibitisha Rasmi Kuwa watumishi hawatapanda madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu hayo mafunzo yataanza Lini na watayamaliza Lini so huenda hadi mwakani ndo mafunzo haya yataanza huku wakikimbizana na uchaguzi wa 2020 kwa sababu utakua umekaribia na ndo labda wataanza Kupandisha watu Madaraja.

SUALA LA MISHAHARA
Ni ajabu Leo 2017 bado watu wanapokea Mishahara ilele aliyoiachaga Kikwete yaani Ni Fixed for two years huku Hali ya Uchumi Ikibadilika Mishahara imebakia palepale wakati Sembe (Unga wa maindi) ulikua unauzwa 900-1,100 sasa 1800 mishahara iko vilevile. Hili la kutopandisha Mishahara nalo lilihusishwa na Uhakiki.

Wana Jamii Forums njooni Tujadili Kwanini Angellah Kairuki anafaa kuendelea Kuwa Waziri.
Waziri wa utumishi tunaomba kuhakiki vyeti Daud Bashite alipotelea wapi ??
Bashite amedanda kitapeli anatembelea vyeti vya mtu mwingine.
Ni mwizi wa vyeti!!
 
Back
Top Bottom