PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,329
WYanga oyeeee..
Mbuzi kasoro mkia hv Simba na Yanga mkifa ndo zitawazika?W
Wa yanga akienda ureno,wa simba anaenda EPL.
Yupo Gadiel Michael anaonekana anajituma pia na Mohamed HusseinMsuva na samatta si ajabu kufika huko mengine ni mipango ya mungu tu!! Amatuseme msuva alikuwa anasubiri tiki ya mungu tu! Sababu alikuwa anaonesha anahitaji kufika huko! Alikuwa na njaa ya mafanikio! Huwez fananisha na kina ngasa, ndugu zetu ajibu, mkude na wengineo wengi! Wao tayari wanaonekana ndio wameshafika pale walipo!! Mengine itokee tu zali la mtende na wengine hayo mazali wamekuwa wakiyakimbia
Kila la kheri kwake.
Kwa kuangalia mpira kote huko ulaya ushawahi kumuona beki ana mwili Kama wa Mudi Hussein?
Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn
media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu
kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio viongoz wetu hao wao n shirt term plan hawana long term plan leo wangekula matunda shaban nonda kapita pale lakn hakuna matunda wanawaza shida za leo hawawaz keshoHakuna watakachopata YangaView attachment 1315261
Simon msuva amezaliwa 01 October 1993. Bado ana muda mzuri wa kucheza kuliko samatta.. mwenye 29.samatta amekutwa na nini??..... nadhan atakuwa hakufuatilia historia za wachezaji wenzake wa kiafrika!....
benfica ni mahali sahihi sana kama njia ya kuvuka kuelekea big five, sijui umri wake ukoje aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao wa Oktoba mpaka Desemba wengi wamechukua simu toka Lumumba kwa kazi maalumu.Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiongee kwa kujipendekeza utafikiri anakufahamu..!! Sema ananizidi kipato na kucheza mpira..vinavyobaki namzidi kila kitu kuanzia elimu,umri mpaka akili.Chuki zako kwa mtu aliyekuzidi Kila kitu zitakufikisha wapi?
Elimu bila kipato ni ujinga.kwani asipocheza EPL wewe utapungukiwa au utafaidika Nini?Usiongee kwa kujipendekeza utafikiri anakufahamu..!! Sema ananizidi kipato na kucheza mpira..vinavyobaki namzidi kila kitu kuanzia elimu,umri mpaka akili.
Najua kanuni za kucheza uingereza kuliko hata wewe popoma..mchezaji mwenye umri km samatta,kucheza EPL na unatoka nchi ambayo ipo nafasi ya 135 kwenye viwango vya fifa,inabidi uwe na kiwango kikubwa sana cha kucheza soka kuzidi wazawa wa hapo..
Au angalau wajue ulitengenezwa wapi..yaani utoke kwenye academy ambayo wao wanaijua..!! Huyo mbwana pamoja na kucheza nje hajui hivyo vitu..yeye alidhani kubadili wakala kutamuwezesha kwenda epl.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akienda hivyo vitimu hata Europa league atatazama kama sisi...Alafu namba anayocheza Msuva ni rahisi kuchezea timu kubwa kuliko ya Sama goal...W
Wa yanga akienda ureno,wa simba anaenda EPL.
samatta wanasema ana 27, so msuva ana 26.......Simon msuva amezaliwa 01 October 1993. Bado ana muda mzuri wa kucheza kuliko samatta.. mwenye 29.
Sent using Jamii Forums mobile app
siku timu yake inacheza na benfica alikiwasha mno jamaa wakasema huyu hatumuachi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnangebe sanaPongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano chini ya Mh John Pombe Magufuli kwa kumuwezesha Msuva kufika huko Ureno. JPM for life!
Mungu akubariki mkuu,moja ya comment bora kabisa tangu wiki hii ianze.Mm nawakubali wote wachezaj wa bongo wanaokiwasha nje ya bongo lakn media zilionyesha ubaguz sana kwa huyu dogo nadhan sasa n wakat wa kumpa heshima yake akina dauda kila wakat wapo belgium kwa kapten wetu lakn kwenda tu moroco waliona shida sasa utawaona na mapambio kila siku ooh dogo mzur sijui nn
media ziache ubaguzi wachezaj wapewe airtime bila kubagua na huu ndio unaitwa uzalendo benfica n timu kubwa sna baran ulaya akina jimenez wa wolves wamepita pale dogo naye asivimbe kichwa kuona kamaliza kaz apambane ya hela yote atoboe laliga bundas liga au epl kwa wajanja itakuwa fahar kwa nchi yetu
kwa samata tunamtakia naye kila la heri atimize naye atimize ndoto zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Mkuu unamfahamu Kawe Alumni?Nilivyoona ID yako ni member sincer october 2019 nikagundua una haki ya kutoa comment takataka kama hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app