Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hazikuwa taarifa Rasmi juu ya Simon Msuva kujiunga na Klabu ya Benfica kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti.
Msuva bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Difaa Hassani El Jadidi [emoji1173].
#SportsXtra
Msuva bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Difaa Hassani El Jadidi [emoji1173].
#SportsXtra