Simon Msuva kubali ukweli, wewe soka la kimataifa basi!

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,839
Kwanza niseme Ninamuheshimu sana Saimon Msuva kama mchezaji na pia kama binadamu, nidhamu yake ndani na nje ya uwanja ni ya kiwango cha juu sana.

Lakini pia ni mchezaji ambae kila anapovaa jezi ya timu yetu ya taifa hujituma kwa moyo wake wote na passion yake juu ya mchezo wa soka huwa anaionyesha hata katika soka lake ngazi ya vilabu, na niseme wazi kwangu binafsi msuva ätabaki kuwa mmoja wa wachezaji nyota wa muda wote wa taifa letu.

Lakini kwa bahati mbaya mchezo wa soka unaenda na nyakati na umri, soka sio kama kuendesha gari kitu unachoweza kukifanya mpaka uzeeni, soka ni mchezo wa muda mfupi na uwezo unapoanza kushuka huwezi kujificha sababu mpira unachezwa hadharani.

Kila nikimtazama sSaimon Msuva wa sasa simuoni Msuva wa miaka 10 nyuma achilia mbali kupotea kabisa kwa Msuva wa mwaka mmoja nyuma, jamaa ameshuka sana kiwango kitu pekee alichobaki nacho ni kasi isiyo na faida, yaani anapokuwa uwanjani ni sawa na mbwa koko anaezunguka zunguka asijue nini cha kufanya.

Nafikiri club ya Js kabyle ya Algeria walikuwa sahihi kumvunjia mkataba na kwauwezo wake wa sasa simuoni akicheza Ulaya au club kubwa za nje ya nchi kwa mafanikio tena kama ambavyo amekuwa akijinasibu kwamba yeye kucheza bongo bado sana.

Saimoni Msuva, umri haudanganyi kaka yangu, mimi nakufahamu nje ndani, umri wako halisi ni miaka 38, kinachokufanya uwe angalau na nguvu za kukimbia ni nidhamu yako juu ya mchezo wa soka na namna unvyoutunza mwili wako, lakini kiuchezaji kwa sasa sioni kama unaweza pata namba hata kikosi cha kwanza cha Singida fountain gate, achilia mbali Azam fc au kwa miamba ya soka toka kariakoo Simba sc na sisi Dsm Yanga africa.

Msuva naomba ukubali kuwa wakati ni ukuta na nachokushauri kwa sasa tafuta timu uarabuni ukapige pesa zako mwisho kisha utulie sababu kama Yanga sc au simba sc wakikusajili watakuwa wamejiingiza hasara, lakini nawewe utapata aibu ya mwaka, sababu yatakutokea kama yaliyomkuta Thomas ulimwengu pale singida fc, alinyanyua mabega juu lakini ameishia kuwekwa benchi na habib Kyombo.

Msuva sisi kama Yanga kwa sasa haitufai na sidhani kama makolo nao wanaweza kukuhitaji, na soka la kimataifa hutoliweza tena lakini unaweza fanya JANJA kama ya sawadogo ukapata dili lako la Mwisho.
Kila lakheri msuva
 
Kwanza niseme Ninamuheshimu sana saimon msuva kama mchezaji na pia kama binadamu, nidhamu yake ndani na nje ya uwanja niyakiwango cha juu sana. Lakini pia ni mchezaji ambae kila anapovaa jezi ya timu yetu ya taifa hujituma kwa moyo wake wote na passion yake juu ya mchezo wa soka huwa anaionyesha hata katika soka lake ngazi ya vilabu, na niseme wazi kwangu binafsi msuva ätabaki kuwa mmoja wa wachezaji nyota wa muda wote wa taifa letu.
Lakini kwa bahati mbaya mchezo wa soka unaenda na nyakati na umri, soka sio kama kuendesha gari kitu unachoweza kukifanya mpaka uzeeni, soka ni mchezo wa muda mfupi na uwezo unapoanza kushuka huwezi kujificha sababu mpira unachezwa hadharani.
Kila nikimtazama saimon msuva wa sasa simuoni msuva wa miaka 10 nyuma achilia mbali kupotea kabisa kwa msuva wa mwaka mmoja nyuma, jamaa ameshuka sana kiwango kitu pekee alichobaki nacho ni kasi isiyo na faida, yaani anapokuwa uwanjani ni sawa na mbwa koko anaezunguka zunguka asijue nini cha kufanya.
Nafikiri club ya Js kabyle ya Algeria walikuwa sahihi kumvunjia mkataba na kwauwezo wake wa sasa simuoni akicheza ulaya au club kubwa za nje ya nchi kwa mafanikio tena kama ambavyo amekuwa akijinasibu kwamba yeye kucheza bongo bado sana.
Saimoni msuva, umri haudanganyi kaka yangu, mimi nakufahamu nje ndani, umri wako halisi ni miaka 38, kinachokufanya uwe angalau na nguvu za kukimbia ni nidhamu yako juu ya mchezo wa soka na namna unvyoutunza mwili wako, lakini kiuchezaji kwa sasa sioni kama unaweza pata namba hata kikosi cha kwanza cha singida fountain gate, achilia mbali azam fc au kwa miamba ya soka toka kariakoo simba sc na sisi Dsm Yanga africa.

Msuva naomba ukubali kuwa wakati ni ukuta na nachokushauri kwa sasa tafuta timu uarabuni ukapige pesa zako mwisho kisha utulie sababu kama Yanga sc au simba sc wakikusajili watakuwa wamejiingiza hasara, lakini nawewe utapata aibu ya mwaka, sababu yatakutokea kama yaliyomkuta Thomas ulimwengu pale singida fc, alinyanyua mabega juu lakini ameishia kuwekwa benchi na habib Kyombo.
Msuva sisi kama yanga kwa sasa haitufai na sidhani kama makolo nao wanaweza kukuhitaji, na soka la kimataifa hutoliweza tena lakini unaweza fanya JANJA kama ya sawadogo ukapata dili lako la Mwisho.
Kila lakheri msuva
Time will tell

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna kupungua kiwango kwa kukosa mechi za kiushindani.
Na kuna kuisha mazima.
Msichanganye haya mawili.
Js kabyle amepewa nafasi mechi moja tu,na walimsajili wakati wa DIRISHA kubwa, mchezaji akisajiliwa kisha akakosa nafasi, jibu ni moja tu, ameshindwa kumshawishi kocha.kule saud Arabia alipokuwa mwanzo waligoma kumuongezea mkataba åkawa anatanga tanga ndio js kabyle wakamuokota. Hivyo ni wazi uwezo wake umeshuka
 
Wenzentu mchezaji anakwambia mwanzoni kabisa mwa msimu, "huu ni msimu wangu wa mwisho" au "msimu ujao ni wa mwisho" au anakwambia "huu ni msimu wa mwisho kuchezea timu ya taifa".

Sisi pamoja na mchezaji kusoma alama za nyakati, anaforce hadi heshima yake inapotea. Mara ghafla haitwi tena timu ya taifa na anakuwa hajapata hata nafasi ya kuagwa rasmi.
 
Hapo kwenye miaka 38 ni chai hiyo
Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
 
Kweli kabisaa
 
Alisema hatazamii kucheza Bongo japo ofa ikija timu ya kwanza kuipa kipaumbele itakuwa Yanga.

Sema miaka hii Club zetu kama zina malengo ya kufika mbali zijifunze kuacha kusajili rejected players.

Heijalishi katoka kwenye ligi yenye ushindani kiasi gani bado hiyo ni kamari yenye risk mno.
 
Kwanza niseme Ninamuheshimu sana Saimon Msuva kama mchezaji na pia kama binadamu, nidhamu yake ndani na nje ya uwanja niyakiwango cha juu sana. Lakini pia ni mchezaji ambae kila anapovaa jezi ya timu yetu ya taifa hujituma kwa moyo wake wote na passion yake juu ya mchezo wa soka huwa anaionyesha hata katika soka lake ngazi ya vilabu, na niseme wazi kwangu binafsi msuva ätabaki kuwa mmoja wa wachezaji nyota wa muda wote wa taifa letu.

Lakini kwa bahati mbaya mchezo wa soka unaenda na nyakati na umri, soka sio kama kuendesha gari kitu unachoweza kukifanya mpaka uzeeni, soka ni mchezo wa muda mfupi na uwezo unapoanza kushuka huwezi kujificha sababu mpira unachezwa hadharani.

Kila nikimtazama sSaimon Msuva wa sasa simuoni Msuva wa miaka 10 nyuma achilia mbali kupotea kabisa kwa Msuva wa mwaka mmoja nyuma, jamaa ameshuka sana kiwango kitu pekee alichobaki nacho ni kasi isiyo na faida, yaani anapokuwa uwanjani ni sawa na mbwa koko anaezunguka zunguka asijue nini cha kufanya.

Nafikiri club ya Js kabyle ya Algeria walikuwa sahihi kumvunjia mkataba na kwauwezo wake wa sasa simuoni akicheza Ulaya au club kubwa za nje ya nchi kwa mafanikio tena kama ambavyo amekuwa akijinasibu kwamba yeye kucheza bongo bado sana.

Saimoni Msuva, umri haudanganyi kaka yangu, mimi nakufahamu nje ndani, umri wako halisi ni miaka 38, kinachokufanya uwe angalau na nguvu za kukimbia ni nidhamu yako juu ya mchezo wa soka na namna unvyoutunza mwili wako, lakini kiuchezaji kwa sasa sioni kama unaweza pata namba hata kikosi cha kwanza cha Singida fountain gate, achilia mbali Azam fc au kwa miamba ya soka toka kariakoo Simba sc na sisi Dsm Yanga africa.

Msuva naomba ukubali kuwa wakati ni ukuta na nachokushauri kwa sasa tafuta timu uarabuni ukapige pesa zako mwisho kisha utulie sababu kama Yanga sc au simba sc wakikusajili watakuwa wamejiingiza hasara, lakini nawewe utapata aibu ya mwaka, sababu yatakutokea kama yaliyomkuta Thomas ulimwengu pale singida fc, alinyanyua mabega juu lakini ameishia kuwekwa benchi na habib Kyombo.

Msuva sisi kama Yanga kwa sasa haitufai na sidhani kama makolo nao wanaweza kukuhitaji, na soka la kimataifa hutoliweza tena lakini unaweza fanya JANJA kama ya sawadogo ukapata dili lako la Mwisho.
Kila lakheri msuva
ni kweli
 
Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
Msuva anasema yeye ni wa 93? Yaani amepishana na Samata mwaka mmoja? Huu sasa ni mzaha.
 
Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
Miaka 38 hapana labda 35
 
Js kabyle amepewa nafasi mechi moja tu,na walimsajili wakati wa DIRISHA kubwa, mchezaji akisajiliwa kisha akakosa nafasi, jibu ni moja tu, ameshindwa kumshawishi kocha.kule saud Arabia alipokuwa mwanzo waligoma kumuongezea mkataba åkawa anatanga tanga ndio js kabyle wakamuokota. Hivyo ni wazi uwezo wake umeshuka
Yote haya yanatokana na nini?
Hajapata proper game time since avunje mkataba na Wydad.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom