lynxeffect22
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 626
- 250
Unafiki upo hapo Jasusi. Tena ni dhahiri kabisa. Na kisiasa it's a bad look.
Na mimi kama mpiga kura nina haki kabisa ya kutumia sababu hiyo kumuona yeye ni mnafiki na asiyestahili kura yangu. Utapingaje ufisadi kwenye majukwaa ya kisiasa halafu mahakamani ugeuke na kuwa mtetezi wa hao hao watu unaowachana kwenye majukwaa ya kisiasa? It's stupid.
Na mfano wako wa daktari na dadaye hata haulingani na unafiki wa Marando.......
Mkuu kuwa mwelewa ushahidi unaoongelewa hapa ni ule wa mawasiliano ya Maranda na Baba yako Jeetu Patel.
Nape bana,kwa kujipendekeza hajambo,Jeetu Patel ni baba yake kwa kuwa ana fweza,Dr Slaa ni babu yake kwa kuwa nimpinzani wake wakati hawa watu wapo lika moja.......
Hata mimi nimeshangazwa... Inawezekana hajui anachokiongea...
Nape,
Tatizo lako ni kwamba una tendency ya kuanzisha mada halafu tukianza kukuuliza maswali unasepa. Inakuwa vigumu kwa watu makini kuchangia kwa sababu hiyo.......
Kaona maswali yamemkwaza na kumzidia na wale vijana wake wa mitandaoni pale Lumumba wamelala hawamtetei Bosi wao, kwa nini asile kona Nape kilaza?
Akili nyepesi always uja na mambo mepesi yasiyo na mashiko, ni kweli angetuwekea ushahidi wa Mzee Marando kumjibu Jeetu Patel angalau leo Nape angetudhihirishia kuwa ameiva kimkakati na tusingekuwa na shaka na habari yake, Nikionacho ni kuwa ameamua kutuletea siasa kwenye hii thread! Nilicho na uhakika nacho ni kwamba ushiriki wake katika kuanzisha chama cha CCJ utabaki kuwa ukweli mpaka atakapokiri mbele ya kadamnasi.
Nadhani wewe ndo utakuwa "KILAZA" kama mnalijua hivyo kwa nini kila siku mnaimba flani fisadi hata kabla hajahukumiwa na mahakama.Mkuu hapa ndio nazidi kuamini kuwa wewe ni kilaza. Unakumbuka ile "Innocent until proven guilty"?
Kama hukumbuki waulize vizuri wanasheria (hii sio siasa) watakueleza.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha ubaguzi,yeye binafsi kachgua kumuita hivyo na Marando Kamuita Mzee wake mbona ukulalalmika alipomuita Mzee Marando kwa ubini huo!!!au basi kwa kuwa ni Nape basi!!Ebu tuwe tunawekana sawa kwenye yale ya msingi,semeni vitu vitakavyompa Nape nafasi ya kuendelea kuwepo hapa afunguke!!!Vinginevyo mnachangia watu kama Nape kuhalalisha kulikimbia Jukwaa kwa Msingi ya kuwa JF imevamiwa.Na ushahidi ni watu kama wewe.sometime ukiwa great thinker unajiongeza!!!1
acha hizo uliza mambo ya msingi kama data ya mawasiliano ya Mzee Marando na Jittu patel, hayo ndio maneno ya msingi!!Usiulize swali as if Mrs amekwambia muuulize Nape swali hili Jeetul Pael ni Babako?"Wewe tukikuliza Bhavick ni Bhaji? utasemaje?
Hamna tofauti na mnavyowaita masalia lakini wakikutana na Hao Viongozi wao wanacheka na kula pamoja...siasa waachie wenyewe wanasiasawewe uliwataka wajivue magamba kwenye chama chenu, ukiwataka wawaachie chama chenu, mkikutana mnapeana mikono, unajichekesha huku unainamisha kichwa chini kwa kuona aibu. sasa hiv huo wimbo ndo umekuishia kbs.
huu sio unafiki.