NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI
Nape umeshutuhumiwa nawe ukaja hapa kujitete, ebu acha alinacha, weka ukweli na wewe acha tetesi,muda wa tetesi umeisha my fellow Tanzanian boy,hizi issue zenu za kusema nitaleta kitu fulani ushahidi kisha unachekechea jiii,ukipewa za uso unaludi jukwaani kuja kuomba sympathy ya wana JF hakika inachefua tena inachefua sana.Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.
NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!
Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
Nape umeshutuhumiwa nawe ukaja hapa kujitete, ebu acha alinacha, weka ukweli na wewe acha tetesi,muda wa tetesi umeisha my fellow Tanzanian boy,hizi issue zenu za kusema nitaleta kitu fulani ushahidi kisha unachekechea jiii,ukipewa za uso unaludi jukwaani kuja kuomba sympathy ya wana JF hakika inachefua tena inachefua sana.
Ebu acha story au watoto wa kitaa wanasema acha longo longo,njooo na kitu kipachike hapa kisha mwambie Msure Tuzungumze sasa,kisha watanzania sie, tunapima nani mkweli.Pamoja na kwamba mimi sina ITIKADI ya vyama lakini kuna watu mimi binafsi uwa naaminia kwenye anga fulani fulani.Hivyo mmoja wa watu hao,namuamnia sana Mzee Marando ni mmoja wa watu waliotoa mchango mkubwa sana kwenye Taifa kwa kuwekana sawa hasa pale baadhi ya wakubwa walipokuwa wakienda ndivyo sivyo basi nae hakuchelewa kuwapa za uso tena kavu kavu kwa kwenda mbele.Hivyo wewe unapokuja na accusation kwa Mzee huyo ambae ni Mwanasheria mzuri bila evidence naona kama unatwanga maji kwenye kinu.
Na kwangu mimi ambae uwa ninayo yangu machache, ambayo uwa naona unanifaha uwa nakusupport kama kijana wa Kitanzania mpiganaji uliye upande wa CCM, inanipa wasi wasi kama niendelee kuamini kuwa ujabadilika na kuadapt tabia mbofu mbofu za kupindisha mambo yasiyo stahili kupinishwa kama kusema kijiko kuwa koleo dogo na Sepeto ni kijiko kikubwa.Ebu hizo zama zimeisha mwaga hivyo vitu basi tutajadiliana hapa na wengine tutajifunza na kupima kauri za Wazee wetu,Je nao ni wale wale!!!
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.
Ok Nape nilimaanisha kuwa tywekee hicho ulichosema ni mawasiliano yake na Mzee Jittu Patel,kisha sie wengine tunajipima kuona Mzee wetu huyo halali yake ya kukutuhumu wewe wakati anatembelea size ya kiatu asichostahiki ndipo ninapopataka na umeshasema una data hizo ndio maana nikakwambia mwaga.Kisha wengine tupime nani mkweli kati ya mtuhumiwa na mtuhumu!!!Hiko ivyo Naoe na uenda Christmas ikawa njema kwako brother.!!!Merry Christmas Nape!!DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?
Ni kweli kabisa. Huyo mtu mimi pia namuona ni mnafiki. Anawachana kwenye majukwaa ya kisiasa hao wanatuhumiwa kuwa ni mafisadi halafu wakija kununua huduma zake za kiuwakili anakubali kuchukua hela zao na kwenda kuwatetea mahakamani.
Sawa, kisheria na kitaaluma yaweza kabisa kuwa ni sawa. Lakini kwetu sisi, kwenye mahakama ya maoni ya watu, baadhi yetu tunamwona ni mnafiki wa daraja la kwanza.
Hajui achague lipi - siasa full time au uwakili full time. Anataka kula huku na huku. Linafiki likubwa hilo.
sasa wewe Nyani mbona unajichanganya mwenyewe? kwanza unasema marandu mnafiki pili unasema kisheria na kitaaluma yupo sawa! tushike lipi kati ya hayo mawili kama huna msimamo si ukae kimya lazima kuchangia??Nyani bwana!!
kama hujui kuwa unafiki ni aina fulani ya maisha ya uwongo na kusingizia na ni kosa basi bwana Nyani nikuachie hapo!Kwani unafiki ni kosa kisheria? Unafiki ni kosa kimiiko ya taaluma yake? Mtu unaweza ukawa mnafiki lakini bado ukawa ndani ya sheria na miiko ya taaluma yako.
Perception often times is reality in politics. Ndiyo maana nikasema kisiasa, it's a bad look.
kama hujui kuwa unafiki ni aina fulani ya maisha ya uwongo na kusingizia na ni kosa basi bwana Nyani nikuachie hapo!
.sasa wewe Nyani mbona unajichanganya mwenyewe? kwanza unasema marandu mnafiki pili unasema kisheria na kitaaluma yupo sawa! tushike lipi kati ya hayo mawili kama huna msimamo si ukae kimya lazima kuchangia??Nyani bwana!!