Taryx Solomon
New Member
- Jul 14, 2013
- 2
- 0
Binafsi nakubaliana na Simcard Tax.... Ifike wakati tuache siasa na tuone fahari kulipa kodi kama ilivyo kwa wenzetu huko marekani mimi naamin watanzania wa kweli wote wanakubaliana na kodi hii ila wachache tu ndio wanaendeleza sumu ya kisiasa
Binafsi nakubaliana na Simcard Tax.... Ifike wakati tuache siasa na tuone fahari kulipa kodi kama ilivyo kwa wenzetu huko marekani mimi naamin watanzania wa kweli wote wanakubaliana na kodi hii ila wachache tu ndio wanaendeleza sumu ya kisiasa
Ni kweli unachokisema, lakini nadhani hujafanya tathmini ya kauli yako.. Umefanisha na marekani.... sawa, wenzetu kodi wanazolipa wanaona matunda yake kwenye usafiri, huduma za kijamii... etc.Binafsi nakubaliana na Simcard Tax.... Ifike wakati tuache siasa na tuone fahari kulipa kodi kama ilivyo kwa wenzetu huko marekani mimi naamin watanzania wa kweli wote wanakubaliana na kodi hii ila wachache tu ndio wanaendeleza sumu ya kisiasa
Kuna watu milo mitatu inawashinda, we kama falsafa yako ni kuwa kama huwezi acha, basi utauwa wengi... Maana usije ukadhani huyo mtu ana kodi moja tu, hiyo ya simu... ana msululu wa kodi...Kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa lolote, hatuna budi kukubaliana na hilo tozo la sim card, kwanza hela yenyewe ndogo sana, sh. 33.3 kwa siku tu, atakayeshindwa aachane na simu si muhimu kwake, serikali isirudi nyuma kwa maendeleo ya taifa. Big up wabunge wote waliopitisha hii kodi.
Kuna watu milo mitatu inawashinda, we kama falsafa yako ni kuwa kama huwezi acha, basi utauwa wengi... Maana usije ukadhani huyo mtu ana kodi moja tu, hiyo ya simu... ana msululu wa kodi...
Ungeweka basi neno sahihi... Ndiyo U-GT, na si kulaumu bila kutoa suluhisho..Wewe nyamaza tu, hata kiswahili kinakushinda, si msululu, nenda shule ukajifunze umuhimu wa kodi kwa taifa.