Simbilisi, simbilisi, simbilisi

Simbilisi, simbilisi, simbilisi

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Kuna mtu ananunua simbilisi kwa ajili ya kufuga kama kuna mtu anauza tafadhari ni pm nikuelekeze zaidi
 
Bei gani mheshimiwa.....na wadudu wa zuri wa kufuga kama mapambo...kama una sungura pia tafathali nijulishe
 
hawa simbilisi ni nini...? una picha ya Simbilisi....?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Bei gani mheshimiwa.....na wadudu wa zuri wa kufuga kama mapambo...kama una sungura pia tafathali nijulishe
du kaka kitoweo wewe unafanya mapambo ,kwa mara ya mwisho kuwaona ilikuwa 1990 ,Simbilisi(jamii ya Sungura .wana umbo dogo)sifa yao kubwa ni kuzaliiana kwa wingi,ndio maana kuna msemo wa kusema watu fulani wanazaliana kama Simbilisi
 
hawa simbilisi ni nini...? una picha ya Simbilisi....?
Ni jamii ya Sungura lakini wao wana umbo dogo ni kama panya buku,sifa yao kubwa ni kuzaliaana kwa wingi na ndio maana kuna msemo wa kuwa watu fulani wanazaliana kama Simbilisi,katika maisha yangu nimeona Simbilisi weusi tu.
 
hawa simbilisi ni nini...? una picha ya Simbilisi....?
Hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".

guinea_pig1.jpg
 
Hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".

guinea_pig1.jpg

ahaaa....kumbe ni huyu....huku Yaeda tunawaita sili (seal) kama sikosei....

  • Thanks
Reactions: SMU
daaah nakumbuka bro alikua anafuga enzi hizo nlikua nawaogopa sana, ila nyama yake ni taaamu.
 
ahaaa....kumbe ni huyu....huku Yaeda tunawaita sili (seal) kama sikosei....

Yeah...nimewaona zaidi maeneo ya baridi kama Iringa, huku pwani sikumbuki kuwahi kuwaona.

Hao seal, ni tofauti...wao ni wakubwa na ni wa majini zaidi (wanakaa baharini /pembezoni mwa bahari).

white-seals-picture.jpg
 
Vipi hapa Dar hamna mwenye nao jamani?
 
Yeah...nimewaona zaidi maeneo ya baridi kama Iringa, huku pwani sikumbuki kuwahi kuwaona.

Hao seal, ni tofauti...wao ni wakubwa na ni wa majini zaidi (wanakaa baharini /pembezoni mwa bahari).

white-seals-picture.jpg
hapana mkuu, mikoa ya kaskazini mnyama/mdudu huyo anaitwa sili. Jina la simbilisi nililisikia mikoa ya nyanda za juu kusini. Lakini kiumbe hicho hicho.
 
Simbilis wapo kwa bei ya 8000 na sungura 12000,nicheki kwa namba 0655674747
 
Okay ngoja nimpe namba atakupigia mwenyewe
 
hawa simbilisi ni nini...? una picha ya Simbilisi....?

Simbilisi kwa kimombo ni: guinea pig

Scientific name: Cavia porcellus

Google any of the two names above (common/scientific) and you'll see mapicha kibaaaaaaao.
 
Back
Top Bottom